Makapuku Forum

Hahah nani kakufundisha lakini, maana umekinyoosha..agonile mama ndaga
He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kina aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimoja
 
He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kuna aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimoja
[emoji16][emoji16][emoji16]ooo basi vizuri asa kumbe umeishi na wanyaki afu unatukatazaga kuandika kinyaki humu ugwee!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ooo basi vizuri asa kumbe umeishi na wanyaki afu unatukatazaga kuandika kinyaki humu ugwee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najuaga salaam tu vingine sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…