Hii couple itaitwa T square..Ukafie mbali hukooo
Naenda kukuripoti polisi ctasema umenitongoza nitasema umekohoa nnavopitaHii couple itaitwa T square..
ha hahaaHahah kila mmoja anapepelea kwake
ha haha "" manina wallahi...ndio defence mechanism yenu hiyo ""Naenda kukuripoti polisi ctasema umenitongoza nitasema umekohoa nnavopita
Ngoja nikamnyoosheha haha "" manina wallahi...ndio defence mechanism yenu hiyo ""
duuhh""" [HASHTAG]#Jiwe[/HASHTAG] ..hii essay inakuhusu aisee.."""Tafasiri Unavyoweza: Ondoa Mashaka Uongoze
Unategemea kupata nini toka kwa wale unaowaongoza kama wewe si mwaminifu, historia yako imejaa makandokando na hajawahi na hujaonesha kutaka kubadilika? Kama unakosa kuwa mkweli (honesty) na mwenye kuaminika (moral uprightness-integrity) unategemea mafanikio gani katika kile unachokiongoza. Unapokuwa kiongozi na huwaamini unaofanya kazi nao unategemea mafanikio yatafikiwa kwa namna gani? Vitisho! Kiongozi mzuri hapayukipayuki, huongoza kwa mfano, anawaamini anofanya nao kazi, kwa sababu kagawa majukumu (delegating and empowering) na hatengenezi matukio ili aonekane kila wakati. Tafasiri unavyoweza.
Kutaka kusimamia kila kitu hakujawahi kumfanya kiongozi kuwa maarufu, kunampunguzia sifa ya kuwa kiongozi mzuri na kumjaza sifa ya udikiteta, kutaka kuonekana kila sehemu, atajwetajwe kila kukicha. Ni sifa sahihi ya kiongozi kujiamini katika analofanya kwa sababu analofanya ni la ukweli na linakubalika kwa jamii. Kiongozi bora hashindi kusisitiza kuombewa, wanaombewa wenye dhambi, wezi, majangili, mafisadi na watu wa namna hiyo, wenye mapungufu, waoneaji, waporaji na taja kingine unachopenda kiombewe.
Kiongozi kujiamini kwa kusimamia sheria, kutenda haki, kuwa na huruma, kutoonea, kuheshimu walio chini na unaowaongoza kunakupa nguvu ya kupata mafanikio zaidi. Hakuna timu ya mtu mmoja, tafasiri unavyoweza
wataka kuukimbia mtongozo kijanja..""Ngoja nikamnyooshe
wapiii???Mkwendreee
shamma achana nae huyo kapuku sana.....amebakiwa na suruali mbili tu "" atakufuja mpaka ngozi yako iwe kama ya mchuuzi wa mkaa....karibu kwangu totooo" ..mie NI kapuku Mwenye nafuu""Nakuchekecha wewe na shamma atakaye ni konga moyo wangu haswa baasi atakuwawangu
Kwenuwapiii???
shamma achana nae huyo kapuku sana.....amebakiwa na suruali mbili tu "" atakufuja mpaka ngozi yako iwe kama ya mchuuzi wa mkaa....karibu kwangu totooo" ..mie NI kapuku Mwenye nafuu""
Asante Mkuu" natambua uwepo wako na mchango wako pia """..endelea kutufunza na kutuburudisha ""Muziki: Changa Karata
Mchezo wa karata ni akili, kila kitu unacho wewe na unakiangalia mwenzako hakioni, usijidai kumuonesha mpinzani wako, utashindwa au utakuwa na wakati mgumu kutoboa, Najua unajua namaanisha nini na ndiyo maana sichoki kukusalimia Kapuku mwenzangu na kukushukuru kwa kuwa hapa maana bila wewe jukwaa hili si sehemu nzuri kuwepo.
Asante Tumosa mama JJ, sweetlee kwa kuweka nukuu nzuri za kuvutia (ukiweza weka kila siku). ABJ ni nzuri kukuona hapa kila wakati, Transcend karibu bruh, hearly na wewwe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri
Muziki sasa, furahia sasa
shemela ...kuwa na kahuruma "" mpokee kijana mwenzangu aisee....
Tulia shemela
Wee nenda ila hao polisi watafungwa wao.Naenda kukuripoti polisi ctasema umenitongoza nitasema umekohoa nnavopita
Wee nenda ila hao polisi watafungwa wao.Naenda kukuripoti polisi ctasema umenitongoza nitasema umekohoa nnavopita
Sawasawa subiri RB inakufataWee nenda ila hao polisi watafungwa wao.
Just Go..
Asante binamu Obe..Muziki: Changa Karata