sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
ShikamooMorning sweetlee
Marahaba mtoto mzuri..Shikamoo
Tumosa nakuja pm mama...
Ndo wap pm hukoTumosa nakuja pm mama...
Sijui nikutungozee hapa hapa jukwaani?Ndo wap pm huko
Ndiooo...![]()
![]()
maweeee
Unitongoze tena
Sasa nakuachaje mwanamke mzuri..![]()
![]()
maweeee
Unitongoze tena
MmmhNdiooo...
Kwanini ? Enzi hizo unapigwa sound na kina shululu walikuomba radhi..?![]()
![]()
![]()
nitake radhi jamaaani
Kwanini ? Enzi hizo unapigwa sound na kina shululu walikuomba radhi..?

Pleasee Tumoo..![]()
![]()
![]()
![]()
Ntakupeleka kwa mjumbe ujue
Ila ujue hata mjumbe anaelewa kuna kuna mahusiano.. sasa sijui unanipeleka kwa lipi?![]()
![]()
![]()
![]()
Ntakupeleka kwa mjumbe ujue
Kwa kunitongozaIla ujue hata mjumbe anaelewa kuna kuna mahusiano.. sasa sijui unanipeleka kwa lipi?
Mimi hata sikuelewi ...ila nipeleka tuu kwa huyo mjumbe..Kwa kunitongoza
Shikamoo