EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,501 Horseshoe Arch said: mtaani hatuhemi...churaaa!!!!!! churaaaa! Hadi waliojaaliwa vyura hawana amani yaani! Click to expand... Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.
Horseshoe Arch said: mtaani hatuhemi...churaaa!!!!!! churaaaa! Hadi waliojaaliwa vyura hawana amani yaani! Click to expand... Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,502 jambilo said: Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu Click to expand... Pole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura!
jambilo said: Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu Click to expand... Pole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,503 jambilo said: Uko jotoni ee! Vip mbu kwani wanapendaga wageni balaa Click to expand... Wanapendaje wageni wakati nyumba za wageni wanajaza wenyewe wenyeji?
jambilo said: Uko jotoni ee! Vip mbu kwani wanapendaga wageni balaa Click to expand... Wanapendaje wageni wakati nyumba za wageni wanajaza wenyewe wenyeji?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,504 jambilo said: Naona nyayo za Nahrene humu jamani Click to expand... Ukimwona uniambie.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 10, 2016 #31,505 Horseshoe Arch said: Pole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura! Click to expand... Kwa vyura mko njema sana nawafahamu
Horseshoe Arch said: Pole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura! Click to expand... Kwa vyura mko njema sana nawafahamu
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,506 EMMYGUY said: Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu. Click to expand... Gadna choko tu...mtu akimtukana mwanamke namwona mswaki...mama yangu mwanamke pia sijawahi kuwaambia!
EMMYGUY said: Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu. Click to expand... Gadna choko tu...mtu akimtukana mwanamke namwona mswaki...mama yangu mwanamke pia sijawahi kuwaambia!
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,507 jambilo said: Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu Click to expand... Asante kaka, naamini tupo pamoja.
jambilo said: Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu Click to expand... Asante kaka, naamini tupo pamoja.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,508 jambilo said: Kwa vyura mko njema sana nawafahamu Click to expand... Mheshimiwa jambilo futa kauli...neno mnapenda liondolewe kwa kuwa ni la wingi na linajumuisha na wasiokuwepo...
jambilo said: Kwa vyura mko njema sana nawafahamu Click to expand... Mheshimiwa jambilo futa kauli...neno mnapenda liondolewe kwa kuwa ni la wingi na linajumuisha na wasiokuwepo...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,509 Horseshoe Arch said: Gadna choko tu...mtu akimtukana mwanamke namwona mswaki...mama yangu mwanamke pia sijawahi kuwaambia! Click to expand... Msamehe bure kaka.
Horseshoe Arch said: Gadna choko tu...mtu akimtukana mwanamke namwona mswaki...mama yangu mwanamke pia sijawahi kuwaambia! Click to expand... Msamehe bure kaka.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,510 EMMYGUY said: Msamehe bure kaka. Click to expand... Bro..mimi ni mwanaume japo si wa Dar..tuwaheshimu wanawake bwana...ni mamazetu/dadazetu!
EMMYGUY said: Msamehe bure kaka. Click to expand... Bro..mimi ni mwanaume japo si wa Dar..tuwaheshimu wanawake bwana...ni mamazetu/dadazetu!
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,511 Shem Nahrene njoo, nimeona umepita hapa.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,512 Horseshoe Arch said: Bro..mimi ni mwanaume japo si wa Dar..tuwaheshimu wanawake bwana...ni mamazetu/dadazetu! Click to expand... Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao. Hebu pita kushoto kaka ..........
Horseshoe Arch said: Bro..mimi ni mwanaume japo si wa Dar..tuwaheshimu wanawake bwana...ni mamazetu/dadazetu! Click to expand... Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao. Hebu pita kushoto kaka ..........
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 May 10, 2016 #31,513 EMMYGUY said: Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao. Hebu pita kushoto kaka .......... Click to expand... Unanitimua siyo?
EMMYGUY said: Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao. Hebu pita kushoto kaka .......... Click to expand... Unanitimua siyo?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 10, 2016 #31,514 Horseshoe Arch said: Unanitimua siyo? Click to expand... Hapana kaka, sina maana hiyo. Nisamehe bure, ila nimemaanisha ya kwamba kwa huyo Gadna na tabia yake ya kumtukana X mke wake. Nimekuomba uachane nae maana watu tunatofautiana kifikra.
Horseshoe Arch said: Unanitimua siyo? Click to expand... Hapana kaka, sina maana hiyo. Nisamehe bure, ila nimemaanisha ya kwamba kwa huyo Gadna na tabia yake ya kumtukana X mke wake. Nimekuomba uachane nae maana watu tunatofautiana kifikra.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 10, 2016 #31,515 Goodmorning to you all
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 10, 2016 #31,516 Hii ndo bongo ya matukio.... 1. Ilianza story ya bunge live 2. Ikaja story ya chura 3. Ikafuatia story ya sukari 4. Now tupo Kukojoza What next.........? Stay tune ......
Hii ndo bongo ya matukio.... 1. Ilianza story ya bunge live 2. Ikaja story ya chura 3. Ikafuatia story ya sukari 4. Now tupo Kukojoza What next.........? Stay tune ......
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 10, 2016 #31,519 Morning all