Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 May 13, 2018 #314,961 Mmhh
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 May 13, 2018 #314,962 Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu samahan kama nimekuudhi Click to expand... Kaka, kwa lipi? Hujakosea hata kidogo, mimi napenda kujifunza, nilikuuliza kwa nia ya kujifunza kabisaa wala sio kukubishia bro
Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu samahan kama nimekuudhi Click to expand... Kaka, kwa lipi? Hujakosea hata kidogo, mimi napenda kujifunza, nilikuuliza kwa nia ya kujifunza kabisaa wala sio kukubishia bro
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,963 SHAMMA said: Kaka, kwa lipi? Hujakosea hata kidogo, mimi napenda kujifunza, nilikuuliza kwa nia ya kujifunza kabisaa wala sio kukubishia bro Click to expand... Sawa Mkuu neno halina shida shida ni ladha ya mwanaume kulitamka
SHAMMA said: Kaka, kwa lipi? Hujakosea hata kidogo, mimi napenda kujifunza, nilikuuliza kwa nia ya kujifunza kabisaa wala sio kukubishia bro Click to expand... Sawa Mkuu neno halina shida shida ni ladha ya mwanaume kulitamka
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 May 13, 2018 #314,964 Tumosa said: Ya dada wa taifa Click to expand... Yale si yalifanyika nje ya nchi tu ila hapo Dar nasikia walikamatwa watano usikute ni mmoja wao
Tumosa said: Ya dada wa taifa Click to expand... Yale si yalifanyika nje ya nchi tu ila hapo Dar nasikia walikamatwa watano usikute ni mmoja wao
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 May 13, 2018 #314,965 SHAMMA said: Mndali ndanyelakakomu Mkuu kwa mara ya kwanza nimeweza kuandika jina lako Mndali ndanyelakakomu Click to expand... Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana
SHAMMA said: Mndali ndanyelakakomu Mkuu kwa mara ya kwanza nimeweza kuandika jina lako Mndali ndanyelakakomu Click to expand... Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 May 13, 2018 #314,966 eden kimario said: Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana Click to expand... Litakuwa la kikabila mkuu, na huenda jina lina maana nzuri tu mndali ndanyelakakomu
eden kimario said: Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana Click to expand... Litakuwa la kikabila mkuu, na huenda jina lina maana nzuri tu mndali ndanyelakakomu
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 May 13, 2018 #314,967 SHAMMA said: Mmhh View attachment 776183 Click to expand... Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivolahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako
SHAMMA said: Mmhh View attachment 776183 Click to expand... Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivolahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,968 eden kimario said: Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana Click to expand... Kwanini mkuu Ukakasi uko wapi hapo?
eden kimario said: Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana Click to expand... Kwanini mkuu Ukakasi uko wapi hapo?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,969 SHAMMA said: Litakuwa la kikabila mkuu, na huenda jina lina maana nzuri tu mndali ndanyelakakomu Click to expand... Huyu anataka kusema jina langu ni la kichina
SHAMMA said: Litakuwa la kikabila mkuu, na huenda jina lina maana nzuri tu mndali ndanyelakakomu Click to expand... Huyu anataka kusema jina langu ni la kichina
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,970 ABJ said: Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivolahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako Click to expand...
ABJ said: Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivolahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako Click to expand...
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 May 13, 2018 #314,971 Mndali ndanyelakakomu said: Kwanini mkuu Ukakasi uko wapi hapo? Click to expand... Jinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofauti Japo kwako linaweza kuwa na maana bomba
Mndali ndanyelakakomu said: Kwanini mkuu Ukakasi uko wapi hapo? Click to expand... Jinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofauti Japo kwako linaweza kuwa na maana bomba
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,972 eden kimario said: Jinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofauti Japo kwako linaweza kuwa na maana bomba Click to expand... Nisaidie kwa lugha za huko kwenu tafsiri yake
eden kimario said: Jinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofauti Japo kwako linaweza kuwa na maana bomba Click to expand... Nisaidie kwa lugha za huko kwenu tafsiri yake
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 May 13, 2018 #314,973 Mndali ndanyelakakomu said: Click to expand... Kweli hahahaa
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 13, 2018 #314,974 ABJ said: Kweli hahahaa Click to expand... Ila naona mhusika umependa uitwe hivyo
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,628 May 13, 2018 #314,975 Tumosa said: Me simo Click to expand... Utakuwemo tuu
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,628 May 13, 2018 #314,976 Tumosa said: We love u too Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,628 May 13, 2018 #314,977 Tumosa said: Muwe na mchana mwema wapendwa Click to expand... Nawe pia mpendwa.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,628 May 13, 2018 #314,978 ABJ said: Asante kwa kutupendaa Click to expand... Asante jwa kushukuru.. Ila shamma anakusaka.
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 May 13, 2018 #314,979 Mndali ndanyelakakomu said: Ila naona mhusika umependa uitwe hivyo Click to expand... Aghh hapana wee
Mndali ndanyelakakomu said: Ila naona mhusika umependa uitwe hivyo Click to expand... Aghh hapana wee
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,628 May 13, 2018 #314,980 ABJ said: Sweet? Hapana ni nani Click to expand... Toa hata ishara ya kung'ata ng'ata vidole mwenzio ajue unaelekea kingii
ABJ said: Sweet? Hapana ni nani Click to expand... Toa hata ishara ya kung'ata ng'ata vidole mwenzio ajue unaelekea kingii