makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,015
- 104,607
Poa kabisa, hazard wa uchagani.Hivi mko poa huku jamani
Umesharudi toka Tabora mkuu?We ninong'oneze jina lako la utotoni..
Hahaa... Nimerudi mkuu, nikaenda tena na nimerudi tena mkuuUmesharudi toka Tabora mkuu?
Karibu mama'a mikazo!!Hooooodiiiiii huuuuuumu
Basi peruzi pm zako ujue uliteta na nani halafu kulaHahaa... Nimerudi mkuu, nikaenda tena na nimerudi tena mkuu
Hahahaa.. Haina haja ya kuenda pm maana watu wenyewe pm ninaowasiliana nao ni wakuhesabika mnooo..Basi peruzi pm zako ujue uliteta na nani halafu kula
Hahahaa.. Haina haja ya kuenda pm maana watu wenyewe pm ninaowasiliana nao ni wakuhesabika mnooo..
Wewe si
Aaah!! Kumbe nimeambiwa nile
Lilitaka kunitoka mkuu shamma!!
Ndio maana hapa hukuwepo, sasa mie nikawa najiuliza huyu naniliu mbona hapa jina lake hakuna, ila nikahofia kulisemaAcha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
Ongezea
Mi nipo hapa naona kaubishi kanaendeleaAcha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
@Quigley
Makaveli 10 habar yakoPoa kabisa, hazard wa uchagani.
Ni poa jamani za weweMamiiii... Niajeee
Khaaaa
Alikataza kabisa tena ni uchochezi mkubwa mtafungwa mtupe shidauwiiiiiiih.. Hivi ndo ulisema baba wa taifa alikataza kuongea kihindi humu ee
MfyuuuuuuNtaenda kufukua makaburi yenu na babu
Hako kaongo kenyewe ukikakuta na babu utackia ane nakukunda
hicho sio kihindi kwani
Safi mamy za wewe karibu sanaHabari za Asubuhi wapendwa wa Mungu.