Mhubiri 4:13
Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hujui tena kupokea maonyo...sijaongeza wala kupunguza. Je wajua maana ya kupunguza/kuongeza?
Mhubiri 4:13
Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hujui tena kupokea maonyo...sijaongeza wala kupunguza. Je wajua maana ya kupunguza/kuongeza?
Umechapia kwenye uandishi ndo nlicholenga, alafu ukataka kukomaa na kuchapia kwa bitoz. Japo ukitoa maana ya kupunguza/kuongeza kwa manufaa ya makapuku si mbaya pia
Hata kwenye karamu ukialikwa, usikimbilie kukaa mbele maana wenye nafasi zao wakija alaf ukainuliwa itakuwa fedheha, heri ukae nyuma ili kama mbele kuna nafasi yako ukaombwa upite mbele itakuwa heshima zaid