...yeah, muziki muziki kweli. Huwa nafurahishwa na huyu mbabu mpiga gitaa, nilikuwa naenda viwanja vya leaders angalau kupata burudani ya muziki halisi
ha hahahhaha, hizi mvua imebidi kupunguza urutubishaji maana shawa (shower irrigation) kipindi cha mvua wotatebo inapanda juu sio mafuriko hayo ndo maana navaa kingamvua