makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Usinione nimekonda, ewe tuma, hakuna mwingine mama ila ni wewe tuma..Muziki: Nitumie Nisome
...nimekumbuka tu kitu miaka hiyo wakati ndo mitandao inashamiri mijini. Ilikuwa mwendo wa kupeana website ili mmoja atembelee kjwa sababu mwingine keshatembelea na kaona uzuri wa ule mtandao sasa anaaamua kukutumia nawe utembelee. Lilikuwa ni jambo zuri na limenikumbusha kukusalimia wewe Kapuku mwenzangu na kukupa hongera kwa mchana uliokuwa nao. Mimi sijambo asante kwa kutouliza.
Muziki sasa, leo ni 2 in 1 ambapo aunt yangu Shunie kaomba muziki na bahati nzuri wimbo wenyewe unapendwa pia na Tumosa mama JJ. Tuburudike na endeleeni kupokea salamu nyingi sana toka kwa BH, yule mwanamke ninayempendaga upeo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hii clip haichezi kwako, nimeitoa youtube mama JJ usinitafutie ndoto za kutisha muda huu
Shemela wa mmNatumai wote muwazima..
Tuwazima maka ake habari ya weweNatumai wote muwazima..
Walinikosha zaidi kurekokodia kigamboni...Muziki: Nitumie Nisome
...nimekumbuka tu kitu miaka hiyo wakati ndo mitandao inashamiri mijini. Ilikuwa mwendo wa kupeana website ili mmoja atembelee kjwa sababu mwingine keshatembelea na kaona uzuri wa ule mtandao sasa anaaamua kukutumia nawe utembelee. Lilikuwa ni jambo zuri na limenikumbusha kukusalimia wewe Kapuku mwenzangu na kukupa hongera kwa mchana uliokuwa nao. Mimi sijambo asante kwa kutouliza.
Muziki sasa, leo ni 2 in 1 ambapo aunt yangu Shunie kaomba muziki na bahati nzuri wimbo wenyewe unapendwa pia na Tumosa mama JJ. Tuburudike na endeleeni kupokea salamu nyingi sana toka kwa BH, yule mwanamke ninayempendaga upeo.
Anarutubuka au una mrutubisha!!
Mpaka mvua zikikata hakikisha awe karutubika vizuri.
Uzwazwa ukiongezeka juu ya upopoma huwa ni tabu mnoooTafasiri Unavyoweza: NiUSiU
Inawezekana kichwa cha habari hukielewi, sio shida hata mimi kilinichanganya hasa baada ya kuamua kuchukua herufi za mwanzo katika maneno niliyochagua yawe kichwa cha habari cha makala haya mafupi. Bila kuyafupisha kichwa kitasomeka Ni Uchaguzi Si Ubaguzi, kuna tofauti sana katika haya maneno. Uchaguzi ni utaratibu uliowekwa kwa ajili ya kumchagua mtu/kikundi cha watu kushika madaraka ya kisiasa, na ubaguzi nao ni utaratibu unaweza usiwe wa kimfumo bali wa kibinafsi ambao unalenga kulitenga kundi moja dhidi ya jingine. Ubaguzi kama ulivyo uchaguzi, ukifanyika kimakosa na kwa upendeleo unaathari sana kwenye jamii. Waulize wabaguzi kule SA na wote waliocheza na uchaguzi hapa kwa majirani zetu.
Uchaguzi umekwisha kwa hapa kwetu japokuwa ni ukweli kwamba mwisho wa uchaguzi mmoja ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwingine, kwa sasa vyama vinapiga jaramba (niwe mkweli hapa) CCM wanafanya kampeni sasa na wapinzani wao hawana uwanja wa kufanya kampeni kwa sababu mikutano imewekewa vizingiti visivyojali kuwa kuna watu wanaishi, kazi yao ni siasa. Tutafika tu.
Kauli ya mkulu kuwa mikopo ya elimu ya juu italenga zaidi wale waliosoma shule za serikali. Kwa hisia kupendelea shule za serikali inasikika vizuri sana lakini nani hajui kuwa shule zinaozoongoza kwa kufanya vibaya! Walimu maslahi duni, vifaa vya kufundisha na kujifunzia ni duni, na mzazi anajipiga amtafutie mwanaye shule binafsi ambayo ina mazingira mazuri ya kujifunza, analipa kodi sawa sawa na mzazi anayesomesha shule za serikali ila inapokuja kuingia chuo ndipo mizengwe inaanza. kwanini? Ni udumavu au kuvimbewa kwa kushiba uchaguzi wenye ubaguzi. Tafasiri unavyoweza
Walinikosha zaidi kurekokodia kigamboni...
Kingamvua haina umuhimu kama mnataka mrutubishe mbegu shamabaniha hahahhaha, hizi mvua imebidi kupunguza urutubishaji maana shawa (shower irrigation) kipindi cha mvua wotatebo inapanda juu sio mafuriko hayo ndo maana navaa kingamvua
Niambie shemela.Shemela wa mm
Uzwazwa ukiongezeka juu ya upopoma huwa ni tabu mnooo
Habari ya mimi ni swaaafii kabisa, japo changamoto hazikosekanishunie akee!!Tuwazima maka ake habari ya wewe
Kingamvua haina umuhimu kama mnataka mrutubishe mbegu shamabani
Sijui nimuelezeaje, zaidi zaidi nitakuwa kama namtusi hivi.Ujue jamaa yetu sijui huwa anafikiria kitu gani! Shule zake watoto wanaenda kwa sababu tu wazazi hawana namna. Shule vyoo tu tabu walimu ndo hao wanaamua kuendesha bodaboda maana makato ya kodi, HELSB kichomi tu
Usinione nimekonda, ewe tuma, hakuna mwingine mama ila ni wewe tuma..
R i.p moshi hakika yule mzee alikuwa nux kwa utunzi na uimbaji. Tangu kufa kwake na mziki ukafa pia.
Kingamvua ndio nini binamuha hahahhaha, hizi mvua imebidi kupunguza urutubishaji maana shawa (shower irrigation) kipindi cha mvua wotatebo inapanda juu sio mafuriko hayo ndo maana navaa kingamvua
Hizo za kawaida jamani maka akeeHabari ya mimi ni swaaafii kabisa, japo changamoto hazikosekanishunie akee!!
Kisiwani ndio kabisa, tutarudi miaka 50 nyuma tutasaka wakunga wa jadi....lol! Unaweza kurutubisha dabodabo (mapacha) uvunaji utakuwa mgumu maana hospital ya Kigamboni imejaa au tutaenda Kisiwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana binamu kama mama kakupenda naanzaje kukuharibia jamani...huu mguno ndo dalili za kwenda kuniharibia, mwenyewe nimetulia bila shigda (kwa sauti ya kepteni John Komba)