Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji134] [emoji134] [emoji134]shunie na tumosa ndo wameniamisha dada angu
[emoji134] [emoji134] [emoji134]shunie na tumosa ndo wameniamisha dada angu
Pouwanitakupeleka bdae
MzimaMzima weye
Cjambo Mkushi za wwMzima
Tamu kabisa....TumosaCjambo Mkushi za ww
R.I.P brokuna wakati kuna vitu vinajitokeza kwa makusudi katika haya tunayofanya humu ndani.. Wengi tunawapa ustar Usiostahili.. Hawana wanachokiandika zaidi ya ujinga.. Tupo hapa kujenga na kurudisha Heshima ya Jf nzima... Hatuwezi kuwapandisha wale wasiostahili.. Tusimame imara
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Tamu kabisa....Tumosa
Wamekuhamishia wapi jamaniishunie na tumosa ndo wameniamisha dada angu
Hajakuagaahata sijui mwenzangu
njema sana shem.Njema vp za ww
mkushi wa kusi,Tamu kabisa....Tumosa
Huyo ibra87sialishafariki Mkuu,Yule jamaaa aliyekuaga anatunga stry za masimbambona sikuelewi mkuu,
r.i.p kivipi?[emoji33]
mmmh kwan hiyo post uliyo qoute alipost enzi za uhai wake au kuna mtu anatumia account yake?Huyo ibra87sialishafariki Mkuu,Yule jamaaa aliyekuaga anatunga stry za masimba
Itakuwa niyeye maana niyamuda hyo post since 2016mmmh kwan hiyo post uliyo qoute alipost enzi za uhai wake au kuna mtu anatumia account yake?
dah aisee, inauma sana nime search nimemuona kwakweli ni mtunzi mzuri sana wa riwaya,Itakuwa niyeye maana niyamuda hyo post since 2016
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji24] [emoji24] [emoji24]R.I.P bro
Ndio mwisho wa kila mmoja!dah aisee, inauma sana nime search nimemuona kwakweli ni mtunzi mzuri sana wa riwaya,
BTW R.I.P ibra87