shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
My loveKwani bado hajapewa dawa
My loveKwani bado hajapewa dawa
Shemela za jioniKucheka cheka jamani kumeanza
Abee baba wawiliMy love
Pole na majukumu baba JJShemela za jioni
Asante mama JJPole na majukumu baba JJ
Kwetu sote Obe [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Usiku mwema wadau wote. Niwatakie wikend njema pia. Love
Salama kabisa mkuu kwema huko ulipo?Salamu makapuku wenzangu
Kwema vip huko NyageiSalama kabisa mkuu kwema huko ulipo?
Ni salama kabisaKwema vip huko Nyagei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] juzi tu leo anaanza kulialia,sisi tutasemaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sakayo katuacha hoi leo eti ameanza kucheka cheka hovyo sababu T haonekani
kwahiyo unataka kulia vizuri sioNaomba wimbo unaosema ni n
" ni neema ya Bwana" sijui hata kaimba nani nausikiliza hapa Mimi nasikia kuliaaaaaaa
Shunie niwekee hebuuu
Hahahakwahiyo unataka kulia vizuri sio
Jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] juzi tu leo anaanza kulialia,sisi tutasemaje sasa
Mzima weyeSalamu makapuku wenzangu
Shemela hbr ya ckuSalama kabisa mkuu kwema huko ulipo?
Hahahaaa c Mwifwa kaziba pengo kpenz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] juzi tu leo anaanza kulialia,sisi tutasemaje sasa
Hebu kamlete aje atusalmie bacsinataka nione kama napendwa kweli