Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Sio yeyee
Ni mdada kaimbaa
Wow! Kwa hiyo chaguo langu ni kama limekaribia wimbo ulioutaka? maana nimeweka mwimbaji mdada
Sio yeyee
Ni mdada kaimbaa
Nyimbo nzuri sana sijui ndio hiiMuziki wa Mdhamini: Kaimba Nani, Angalia Jina!
Ni kwa udhamini wa Sakayo na kwa kuwa kama uliyo wewe na mimi hata yeye hakumbuki mtunzi/mwimbaji wa huu wimbo. Hakuna noma ni kwa neema tu basi utaupenda huu na kufurahia wikend yako
Ndo huoAsante Obe
Barikiwa sana jamani!! Mungu akulinde na akupe kila lenye kheri!!!
Ndo nimeingia leo jf shunie....Niaje akinKhaaaaa najibiwa leo jamani nini mbaya
Daaah...hebu nitumie sauti kama huwezi basi iandike hii sauti hapa, au ipige picha kama simu yako ina front camera
![]()
Ndio hiyoAsante Obe
Barikiwa sana jamani!! Mungu akulinde na akupe kila lenye kheri!!!
Fresh Tumosa....Nimekaribia AhsanteMkushi mambo,karibu tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutafanyaje ili tujue sasaHahaha
Inawekwa kwa wapi jamanii
Asante Obe
Barikiwa sana jamani!! Mungu akulinde na akupe kila lenye kheri!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni mdada aki anasauti nzito ka yangu
NdiwooooooUnataka picha au
Hahahasisahau kiwepesi hususan kama issue inakuhusu ww
Hahhaaaaa
Itakuwa ndio huo huo binamu Mungu azidi kukuweka tu binamu yetu tunakupendaWow! Kwa hiyo chaguo langu ni kama limekaribia wimbo ulioutaka? maana nimeweka mwimbaji mdada
Kwema za utokakoFresh Tumosa....Nimekaribia Ahsante
Za hapa
Muziki wa Mdhamini: Kaimba Nani, Angalia Jina!
Ni kwa udhamini wa Sakayo na kwa kuwa kama uliyo wewe na mimi hata yeye hakumbuki mtunzi/mwimbaji wa huu wimbo. Hakuna noma ni kwa neema tu basi utaupenda huu na kufurahia wikend yako
NdiwoooMimi tena jamani
Ni poa mkushi miss uNdo nimeingia leo jf shunie....Niaje akin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah
Mie wa mkoani ujue,aki Sijaelewaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...great! Maneno kama haya ndo yananifanyaga nimpende BH BlessedHope yaani tu sio kwamba yanaleta tulizo la moyo lakini pia naona kama yananongezaga nyege.
Amen kwa maneno mazuri
Umejaribu anko ake shunieWow! Kwa hiyo chaguo langu ni kama limekaribia wimbo ulioutaka? maana nimeweka mwimbaji mdada