Nipo nagonjeka hapa kusikia sauti ya nyauDaaah
Ngoja niwaimbie kidogoo
Huo ni mzuri zaidi sasaKwahiyo sio huo mbona mzuri hivyo
Huku nilipo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Wa mkoan ndo wapi huko
Nina nini jamaniYaani wewe
Sawa
Sana Obe..... kitambo kidogo sijakuwepo Kwema?...pamoja sana Mkushi, kama kawaida ni jambo zuri kuonana hapa
MhHahaha
Nimekutumia pm
Usipotee bana sanaMiss u too shunie...[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani kwa mara ya kwanza ndo nacheka toka asubuhi!!!
Obe Mungu akupe kila lenye baraka, Mungu akutunze mnooo
KhaaaaHebu nijibu pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sinywagi balimi mie...hanielewi sababu ya maneno yako, wewe huwa unaharibia sana, yaani ungekuwa unanifagilia kwa mama mbona ningekuwa kila kwenye bia za promosheni ningekuwa nakupa ramani
Sitopotea tenaUsipotee bana sana
Kheeeeee...sure, nimeiona hii sauti na nimeikubali ni nzito zaidi hadi muimbaji akiisikia atakimbia
![]()
Ni neema ni neema ya Bwana ni neema!Imbaaa
EeenhHuo ni mzuri zaidi sasa