Makapuku Forum

Makapuku Forum

*[emoji524]TUOMBE*

Mungu wetu MWENYEZI tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo Ijumaa tarehe 27 April 2018 Tunaomba Mungu wetu uzidi kutupigania katika maisha yetu.

Tunajitakasa tukiomba uongoze hatua zetu, siku ya leo tuongoze kila mahali tutakapokuwa. Bariki TAIFA letu, Familia zetu pia. Tunaombea kila mmoja Mungu apate kusema Ndiyo kwako.

Tunakemea kila NGUVU zisizotokana na wewe Mungu wetu zisipate nafasi maishani mwetu. Ni katika Jina la Yesu tumeomba Amina.

DAMU TAKATIFU YA YESU ITUFUNIKE USIKU HUU [emoji259][emoji259][emoji259]
 
Back
Top Bottom