mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,558
- 45,130
sisahau kiwepesi hususan kama issue inakuhusu wwOoooh
Una kumbukumbu nzuri aki
Hahhaaaaa
sisahau kiwepesi hususan kama issue inakuhusu wwOoooh
Una kumbukumbu nzuri aki
AsantePole
MhWe nawe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo wimbo hajaimba mwaitege kweli?!
Ebu muulize unaweza mtajiaHuo wimbo hajaimba mwaitege kweli?!
Weka sauti tuone[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui anko Obee
Ila najua sauti tuu
Sio yeyeeHuo wimbo hajaimba mwaitege kweli?!
Amen mtumishi*[emoji524]TUOMBE*
Mungu wetu MWENYEZI tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo Ijumaa tarehe 27 April 2018 Tunaomba Mungu wetu uzidi kutupigania katika maisha yetu.
Tunajitakasa tukiomba uongoze hatua zetu, siku ya leo tuongoze kila mahali tutakapokuwa. Bariki TAIFA letu, Familia zetu pia. Tunaombea kila mmoja Mungu apate kusema Ndiyo kwako.
Tunakemea kila NGUVU zisizotokana na wewe Mungu wetu zisipate nafasi maishani mwetu. Ni katika Jina la Yesu tumeomba Amina.
DAMU TAKATIFU YA YESU ITUFUNIKE USIKU HUU [emoji259][emoji259][emoji259]
Mjibu mbalizi huko ni mwanaume kaimba au mwanamkeWoooi...
Mie nakumbuka sauti
Mimi tena jamaniKama wewe jamani
Unalalaje kwa mfanoHahaha
Nalala tuu aki
Ameeeni*[emoji524]TUOMBE*
Mungu wetu MWENYEZI tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo Ijumaa tarehe 27 April 2018 Tunaomba Mungu wetu uzidi kutupigania katika maisha yetu.
Tunajitakasa tukiomba uongoze hatua zetu, siku ya leo tuongoze kila mahali tutakapokuwa. Bariki TAIFA letu, Familia zetu pia. Tunaombea kila mmoja Mungu apate kusema Ndiyo kwako.
Tunakemea kila NGUVU zisizotokana na wewe Mungu wetu zisipate nafasi maishani mwetu. Ni katika Jina la Yesu tumeomba Amina.
DAMU TAKATIFU YA YESU ITUFUNIKE USIKU HUU [emoji259][emoji259][emoji259]
Asante ObeMuziki wa Mdhamini: Kaimba Nani, Angalia Jina!
Ni kwa udhamini wa Sakayo na kwa kuwa kama uliyo wewe na mimi hata yeye hakumbuki mtunzi/mwimbaji wa huu wimbo. Hakuna noma ni kwa neema tu basi utaupenda huu na kufurahia wikend yako
Sijui anko Obee
Ila najua sauti tuu
Nafikiri haupo YouTube wala!!Ebu muulize unaweza mtajia
HahahaWeka sauti tuone[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni mdada aki anasauti nzito ka yanguMjibu mbalizi huko ni mwanaume kaimba au mwanamke
Unataka picha auUnalalaje kwa mfano