Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mngh!
Hujanitumia pm Sakayo
seriously!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mngh!
Hujanitumia pm Sakayo
seriously!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sura ya baba
Woyoooooooooo wahenga tuko wachache jf tunahesabikaSio kesi, usiogope. Mimi ni muhenga tu kama ilivyo kwa akina Shunie na Sakayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Kumbe umeenda
Una uchu muhengaNimeenda zaidi ya mara tatu nakuta holaaaaaa
Muongo acha kumjaza ndugu yanguBas hiyo hiyo mimi hapa hooooiiiiii nakwambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu weeeewe!
Labda umemtumia T mi ntajuaje
Mbavu zangu mie mbona ulokoleNakuchunia vp aki!.
Tatizo lako ww kila nikija unaniwekea ulokole sasa hata huko kuvutika kunakuwaje jamani khaa!
Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]Sio kesi, usiogope. Mimi ni muhenga tu kama ilivyo kwa akina Shunie na Sakayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani
Kwani nilipenda niwe na sura ya baba aki
SawasawaNa usirudiee kabisaaa
Unakesi na mimi weweAtarudi tu nyumbani apate zawadi yake ya bday
huyu ndugu yetu yupo nyuma kama makalio yawahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ulishindwa hata kumuanzishia thread chit chat ebu kaanzishe huko
Kanikera sana jana ooh inatosha hapa hapahuyu ndugu yetu yupo nyuma kama makalio yawahindi
me nitakudokeza sababuMfyuuuuu shululu sio wa kumfanyia hivyo kabisa
Mweeeehme nitakudokeza sababu
Nimeitikia wito kipenziKanikera sana jana ooh inatosha hapa hapa
Nimeitikia wito kipenzi
Hapo luvMweeeeh
Unidokeze tu hivi yule moneytalk wa insta tukakutana kwa mange kuhusu jf kufungiwa nikakuquote moneytalk ukanijibu vipiii alikuwa ni wewe mamy