Makapuku Forum

Jina hili hili nitumie jina lingine kumwogopa nani

...ningeshangaa kwa kweli. basi nikienda huko tena nitapitia nyuzi zako nione kama kuna ufundi, maana kuna mtu anaweza asiwe fundi kwenye yote, machejo hadi kuandika. Yaani ukurasa wa mahaba anaandika maneno yamesismama kama moja badala ayaumbeumbe kama nane msomaji apate burrdani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom