Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
WoyooooooooooooooTabora.
WoyooooooooooooooTabora.
[emoji23][emoji23]gentlemen never dare for more
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo karibia na mpaka wa kongo huku full kilimo.Ndio unapoishi huko au upo kwa ajili ya kilimo
Lee jamani tumeachana nikaamua kuwa na Davet na analijua nilishampa taarifa yupo busy haonekani nimeamua kutafuta mbebez na mm[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio hivyo
ni kitu gani hiko mkuu?Hujui au!?
Duh!! Mbona hukuniambia km ulipigwa kadi nyekundu.. Kwahyo sasa hiv uko na wote wawili.Lee tuliachana jamani na anajua nikamwambia niko na mbebez mwingine
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamani mpaka mnanitafuta huku nimeshapost mda sana side halafu jina lako limefanana na la mbebez wangu
Omarion alikuwa kiongozi wa b2kni kitu gani hiko mkuu?
Ni jina limefanana na la mpenzi wangu ndio lakini hapa nipo na mbebez wangu Davet jamani hivi mkiniharibia mnataka nikufwe na hamu zangu auAahh!! Si umesema mwenyewe said ni jina la mpenzio.
Kilimo vipiii kinaendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo karibia na mpaka wa kongo huku full kilimo.
Vipi tena shunie akee!?Woyoooooooooooooo
Aiseee shededeni kitu gani hiko mkuu?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawili siwezi niko na Davet tu nilimpa kadi nyekundu mimiDuh!! Mbona hukuniambia km ulipigwa kadi nyekundu.. Kwahyo sasa hiv uko na wote wawili.
hizo sauti mala nyingi zilikuwa zikipatikana back bancher kulee kabisa.[emoji23]Enzi zile watotto wakishua wanajibu present sie tunashangaa ndio nini!??
Wahuni tunaitikia jana, leo na kesho.
Nimefurahi tu maka akeeVipi tena shunie akee!?
Labda ana maana tofauti.. Omarion hayupo mmoja tu duniani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa ndio wale wanatumia vitu bila kujua maana
MhLabda ana maana tofauti.. Omarion hayupo mmoja tu duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi bado anachukua ile shule, ambayo ilisababisha mpasuko na husna [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na ningekuwa nakukula sijui ingekuwaje.. Km nawaona vile wavimba macho[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio hivyo