Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Muziki: Onana Sio Onea
...mara zote ni jambo zuri kukuona hapa anko wangu Lyon Lee pamoja na Makapuku wote ambao sio siri na wala siwezi kuchoka kusema kuwa mnalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Unajua kuwepo kuna maana kubwa sana na kama ilivyo kwa Norway ambao hawana hata simba mmoja nchini kwao lakini kwenye bendera yao wameweka simba. Picha maana yake wanajiamini na pica huongea kuliko maneno.
Muziki sasa, siongei mengi maana humu ukimywa umetawala na si kosa kuwa kimya inawezekana ni hili zoezi la mkuu wa mkoa wa Tanzania, waliohitajika wamehudhuria na watuhumiwa wamejificha kusubiri wito wao utakuja lini.