Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,439
- 110,062
Lala....Baada ya United kushinda Kwa cleansheet Easter ikawa much blessed, honestly nilifurahia mapumziko japo nilimiss muziki mzuri toka kwako Dj mtaasisi
Lala....Baada ya United kushinda Kwa cleansheet Easter ikawa much blessed, honestly nilifurahia mapumziko japo nilimiss muziki mzuri toka kwako Dj mtaasisi
Muziki: Karanga Zenye Michanga
Wiki inakwenda kasi sana, huwezi kuamini majuzi kuna wadau walikuwa wamefunga na sasa wamerudia maisha yao ya kawaida, yale maisha waliyoyazoea na kuwafanya wawe wao kama wao na si kuiga majina ya kwenye vitabu. Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukuambia tu kuwa japo hujauliza siku yangu ilikuwa nzuri sana, asante kwa kutouliza. Ninajiaminisha ulikuwa na siku nzuri pia, karibu hata kama hujaniambia asante. Siwezi kuacha kukushukuru wewe kwa kuwepo hapa, unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri sana kuwepo.
Nilikuwa naongea na anko wangu Lyon Lee ambaye kwa sasa yupo mapumzikoni, hivi kuna wau wa ajabau kweli, yaani mtu anachukua likizo kipindi cha Aprili, kweli!!! Lakini nisiseme sana lakini ndo anko wangu kachukua likizo, ila kasema hataki kusafiri maana akisafiri tu mipango yake inachelewa. Hapa somo ni kuwa likizo japo inapendeza kusafiri hakuna ubaya usiposafiri, simu si zipo bhana.
Muziki sasa, nakusalimia Tumosa mama JJ na kukuambia unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Furahia muziki maana wote wanaosema kitumbua kikiingia mchanga hakiliki, hawajajaribu karanga
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Lala....
Muziki: It is Almost Furahiday
U khali gani Kapuku tunayeheshimiana, mimi sijambo na ninakusalimia kukukumbusha tu kuwa kesho ni Ijumaa, yaani Furahiday na wakati huu unapokuwa umeshajirejesha nyumbani baada ya kazi nimeona ni vizuri kukukumbusha.
Ninawasalimia wadau wote ambao huwa mnakuwa na muda wa kutembela hapa.
Muziki sasa, nikutakie wakati mzuri na maandalizi mema ya Ijumaa
Si vibaya nikatupia na muziki mzuri toka kitambo, anaitwa 2face anakwambia AFRICAN QUEEN. .
Muziki: Ijumaa Baada Ya Pasaka
Ni Ijumaa ya kwanza baada ya Pasaka, ninakusalimia jamaa yangu na bila maneno mengi sana burudika na muziki. Nikutakie wikend njema
Hi[emoji113] [emoji113] [emoji113]
Hi
[emoji113] [emoji113] [emoji113]
BinamuMuziki: Potea Njia
....ni wakati wa kwenda tu ndo unaweza kupotea njia lakini sio wakati wa kurudi. Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukutakia wiki yenye mafanikio
Muziki sasa, burudika kufidia ukimya uliopo na unaotawala humu
Hi shemela
Mambo hbr ya chimboWakuu kumtoa shinie na binamu salamu nyingi
Binamu