Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Bado wanakula pasakaMorning my fellow kapuku's
Bado wanakula pasakaMorning my fellow kapuku's
Tumebaki mm na ww nas twenzetu tukale pasaka mwenzangu 😛Bado wanakula pasaka
Mpenzi🙂🙂Habari ndugu zanguni[emoji113] [emoji113] [emoji113] bado mnakula pasaka
[emoji134] [emoji134] [emoji134] ngoja baba wawili akukuteMpenzi🙂🙂
Zilipendwa sasa iv mm na ww[emoji134] [emoji134] [emoji134] ngoja baba wawili akukute
Cc Shululu
SitakiZilipendwa sasa iv mm na ww
Muziki: Baada ya Pasaka na Winnie
Mapumziko ya Pasaka yamekwisha na leo kwa wengi ilikuwa ndo siku ya kwanza ya kazi katika wiki. Siku nne za mapumziko si haba, yaani kama umetemebelewa na mgeni unaanza kuwaza ataondoka lini. Nikusalimie kapuku mheshimika na kukutakia pole kwa mihangaiko ya leo, najiaminisha kabisa kama kuna siku umechacharika kiukweli basi ni leo maana sikukuu imekuachania mifuko na bahati mbaya sana ATCL hawakutoa ndege za kwenda kuhudhuria mapokezi ya ndege yetu.
Pasaka hii imeambatana na msiba mzito kwa taifa la SA na Afrika nzima kwa ujumla. Msiba wa Winnie M. Mandela, mwanamama wa nguvu, mpigania haki za watu weusi huko bondeni. Kifo chake kimeacha majonzi lakini matendo yake na kujitoa kwake kama mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi utabaki kuwa ni alama kuu ya vzazi vijavyo ukiachana na makndokando mengine ya kibinadamu. Pumzika Winne
Muziki sasa. Nikutakie wakati mzuri
Shikamoo binamu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ilikuwa murua kbsa...marahaba binamu yangu, Pasaka ilikuwaje kwenu na kina JJ?
AminaNawatakia maandalizi mema ya pasaka
Habari yakoAbeee
Tafsiri fasaha ni ipi?Bahat ya mtende, kuotea jangwani hili ni zaidi ya zali.. Yawezakuwa zali la mentaliila si zari wa dimond platnumz
Wajina yupi kaka?Nawatakia pasaka njema wapendwa, kutokama pasaka imeambatana na sikukuu ya wajina mimi simualiki mtu ila atakaetaka kuja na aje tu nyumbani.
Hapi ista tu ol of yuu mai ........... Deshi deshi.
Baada ya United kushinda Kwa cleansheet Easter ikawa much blessed, honestly nilifurahia mapumziko japo nilimiss muziki mzuri toka kwako Dj mtaasisiMtaasisi mwenzangu Nyagei heshima nyingi sana kwako na kile kibao cha Yori yori sio kwamba nilikisahau sema tu kuna masuala ya kiufundi na mtando yaliingiliana nikashindwa kupandisha muziki hata hivyo nilijua kwa kuwa kilikuwa ni kipindi cha kuelekea pasaka basi uliburudika na mengi ukiacha muziki.
Pamoja sana
Muziki wa Mdhamini; Ni vema kutabasamu ..Moyo uliotulia ni dawa ya mwili
Nimejikuta napenda maneno hayo hapo juu. Yanavutia na kwa usiku huu wakati wengine tunasubiri kuangalia majogoo wa pale Liverpool na matajiri wa Manchester ninayatumia kukutakia wakati mzuri wewe BlessedHope , Shunie , Tumosa , shululu , Nyagei , Da'Vinci , Mwifwa heko ya kuzaliwa mdau, Mndali ndanyelakakomu , makaveli10 , dumejeuri , Transcend