Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Muziki: Sauti Isikike
...ninakusalimia mdau muhimu wa Makapuku Forum, na mara zote unajua kabisa uwepo wako hapa ni kitu kizuri si tu kwangu binafsi bali kama mwanajamii wa hapa uwepo wako unatufanya tuwe na furaha kwa raha na karaha.
Muziki sasa, sauti isikike, usiibanie na Pasaka ndo inakaribia