Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Jtatu Kuelekea Pasaka

Nikutakie maandalizi mazuri ya Pasaka maana ndo tuumelianza juma la Pasaka na kwa maana hiyo salamu yangu kwangu na 'wishes' zote za kujiandaa vema ndo zinahusika hapa.

Nakusalimia Lyon Lee najua unapiganisha juu na chini uvuke mipaka utuachie mimbwa yetu ya pale ghorofa la wasakakodi. All the best.

Muziki sasa, natumaini ulikuwa na wikend njema.

Habari yako mtaasisi! Leo ni TBT hebu tupia kitu cha Yoriyori
 
Binamu Obe nakuona unanikwepa kwepa ila sawa mimi napambana na kazi yetu tumalize usajili wa kampuni yetu japo kwenye masharti naona wanasumbua tupunguze kidogo ila tutafanikiwa kwa hiyo waache wale wanaoweka vitu bondii sisi magar ,sijui hatutakii wanaume waache waweke bondi wanawake wao kwenye kampuni yetu
 
...sijakukwepa anko, hujaona kila mara nakuandikia na kukutakia mema katika mipango ya hawa wasaka kodi. Najua utafanikisha na hakuna kitakachoharibika. Pamoja sana. Mzima lakini
 
Back
Top Bottom