Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka unaanzaje kuwekewa ni mwendo wa soda woiiii heineken kwako
Hahaa... Pole ndugu yangu wee, itabidi ujivike umakaveli japo kwa siku hiyo usigide pombe ni mwendo wa juisi tu, ukibadili sana gonga bavaria.[emoji23] [emoji23]

Ila usiwaze mwanangu mwenyewe, katoni zako 5 za heineken utazikuta sababu bajeti nishaipanga kabisa, siwez kuihujumu, nikiiharibu sana utakuta hata katoni 3.
 
Jamani ebu nitumie kwa tigo pesa unanitamanisha tu
 
Back
Top Bottom