Asante binamuMuziki: Tutajuana Tu
Nikusalimie Kapuku na kukutakia muda mzuri usiku huu. Binafsi sijambo na ninashukuru maisha yanaendelea, mdogo mdogo kama Jide. Salamu nyingi sana toka kwa anko wangu ambaye ametetwa na watekaji wameamua kutomuachilia ili asitekwe tena.
Muziki sasa, tutajuana tu. Kama kwenye tafasiri unavyoweza leo ni nyimbo nzuri za kupendeza, zikipigwa unacheza maana zina kila kitu kinachokuhusu. Anaitwa Tom Nyandundo
Vipi kwani
Nilikumiss tu hunie..Vipi kwani
Mie zaidi baba NaveenNilikumiss tu hunie..
Niko Ununio huku ujue..Mie zaidi baba Naveen
Hivi nani amekuteka
KhaaaaNiko Ununio huku ujue..
Kuna watu wamevaa mask kama soudy brown tuuKhaaaa
Kuko na nini
AiseeeKuna watu wamevaa mask kama soudy brown tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niko nalala byeeeAiseee
Hawajui we ni ni Iyobo eeh
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niko nalala byeee
Hahahaaa! Polepole hunieAiseee
Hawajui we ni ni Iyobo eeh
Usiku mwema mama D[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niko nalala byeee
Twende tukalale hebu...!Hahaha
Mwenyewe nalala mama, nimefurahi kukuona
Tanzania ni duble duble tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwa aisee
Au mie miwani yangu haifany kazi vizur ninHahhaaaa!