Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mi mzima naona unachungulia na kukimbiaMambo

Binamu asanteTafasiri Unavyoweza: Usisiasishe Elimu, Ujinga Ni Gharama
Kumekuwa na mjadala uliotokea mwishoni mwa wiki jana, mjadala huo umekuwa ni kuhusu ubora wa elimu yetu. Elimu ni ufunguo wa maisha. Mjadala huu si mgeni, umekuwepo tangu miaka ya mwanzo kabisa ya utandawazi nchini na ulikolea zaidi kipindi cha uongozi wa Mkapa, bahati nzuri ni huyuhuyu BWM ambaye kauibua tena akitaka tuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu ubora wa elimu yetu. Elimu humwandaa mtu kuyakabiri mazingira anayoishi na kuwa na msaada katika jamii yake lakini bahati mbaya sana madhamana tuliowapa uongozi wamekuwa wakiisiasisha elimu kwa manufaa yao, elimu imekuwa ni kujaza wengi ujinga ili waendelee kutawala. Tafasiri unavyoweza.
Siasa safi na iliyo bora ni ile inayoweka kipaumbele katika kuboresha elimu, kuanzia mitaala, maslahi ya walimu, vitendea kazi vya kufundisha na kujifunzia, ubora wa walimu na miundombinu rafiki kwa kila Mtanzania anayetaka kufaidika na elimu inayotolewa darasani.. Bahati mbaya sana, wengi tumekuwa si watu tunaopenda kuhoji na hili si kwa bahati mbaya, ni kwa sababu ya mfumo tuliolelewa na viongozi wetu wanawachukulia wote wanaohooji kuwa ni maadui wa taifa. Unakumbuka enzi za BWM na HakiElimu! Tafasiri unavyoweza.
Ni wakati mzuri sasa, hatujachelewa kujadili kwa kina ni aina gani ya elimu tunayoitaka kama taifa katika zama hizi ambazo dunia ni kama kijiji na maisha hayahitaji kuvaa suti kila asubuhi kwenda kuzalisha, unaweza kuwa kwenye pajama na ukalisaidia taifa lako vizuri kabisa. Lakini kabla hujavaa pajama lako hebu toka nje tujadili na tuwaambie viongozi etu ambao bahati nzuri kwa sababu tunawalipa vizuri wanasomesha wanaowahusu kwenye shule bora zinazofuata mitaala sahihi ili kesho waje wawaongoze watoto wetu wanaofurahia 'elimu bure' yenye mitaala inayowaandaa kuwa wapiga kura wasiofikiri. Tafasiri unavyoweza
Kwema kaka, vip hali!?Bro kwema?
Si kweli, watoto wanaota ndoto..Kumbe ndevu wanaota watoto?
Ipo mkuu.Hakuna bahati mbaya
[emoji3] [emoji3] mambo mengi hatariMi mzima naona unachungulia na kukimbia
Mopao mokonziAsante Shunie kwa magazeti, imependeza sana.
Nimefurahi kukuona shululu , afadhari yenu bado mnapambana kwenye mechi za futuhi day, sisis tumetoka.
Kama kawaida ni jambo zuri kukuona mdau wa ukweli makaveli10 , mtaasisi Nyagei wimbo utakuja.
Anko Lyon Lee weekend imemkamata ameomba ED asiende kazini (yeye ni bosi wa mabosi sasa kamuomba ruhusa karani asiende kazini, karani hajajibu ombi)
Transcend , SHIMBA YA BUYENZE , husna muba (naimani unaendelea vizuri na mng'ato wa yule mdudu), BlessedHope , Sakayo , mama JJ Tumosa , mzeewakungoa Mwifwa , Mndali ndanyelakakomu , moneytalk asante kwa kuja leo, ABJ , Clkey , dumejeuri , Mkushi wa kusi , dingimtoto , Jolie Jolie , na wewe unayenisoma sasa, ninyi ni watu wema na mnalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Uwepo wenu ni sababu tosha kabisa ya wengi wetu kuwa humu
Bongo ni tiki taka tuTafasiri Unavyoweza: Usisiasishe Elimu, Ujinga Ni Gharama
Kumekuwa na mjadala uliotokea mwishoni mwa wiki jana, mjadala huo umekuwa ni kuhusu ubora wa elimu yetu. Elimu ni ufunguo wa maisha. Mjadala huu si mgeni, umekuwepo tangu miaka ya mwanzo kabisa ya utandawazi nchini na ulikolea zaidi kipindi cha uongozi wa Mkapa, bahati nzuri ni huyuhuyu BWM ambaye kauibua tena akitaka tuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu ubora wa elimu yetu. Elimu humwandaa mtu kuyakabiri mazingira anayoishi na kuwa na msaada katika jamii yake lakini bahati mbaya sana madhamana tuliowapa uongozi wamekuwa wakiisiasisha elimu kwa manufaa yao, elimu imekuwa ni kujaza wengi ujinga ili waendelee kutawala. Tafasiri unavyoweza.
Siasa safi na iliyo bora ni ile inayoweka kipaumbele katika kuboresha elimu, kuanzia mitaala, maslahi ya walimu, vitendea kazi vya kufundisha na kujifunzia, ubora wa walimu na miundombinu rafiki kwa kila Mtanzania anayetaka kufaidika na elimu inayotolewa darasani.. Bahati mbaya sana, wengi tumekuwa si watu tunaopenda kuhoji na hili si kwa bahati mbaya, ni kwa sababu ya mfumo tuliolelewa na viongozi wetu wanawachukulia wote wanaohooji kuwa ni maadui wa taifa. Unakumbuka enzi za BWM na HakiElimu! Tafasiri unavyoweza.
Ni wakati mzuri sasa, hatujachelewa kujadili kwa kina ni aina gani ya elimu tunayoitaka kama taifa katika zama hizi ambazo dunia ni kama kijiji na maisha hayahitaji kuvaa suti kila asubuhi kwenda kuzalisha, unaweza kuwa kwenye pajama na ukalisaidia taifa lako vizuri kabisa. Lakini kabla hujavaa pajama lako hebu toka nje tujadili na tuwaambie viongozi etu ambao bahati nzuri kwa sababu tunawalipa vizuri wanasomesha wanaowahusu kwenye shule bora zinazofuata mitaala sahihi ili kesho waje wawaongoze watoto wetu wanaofurahia 'elimu bure' yenye mitaala inayowaandaa kuwa wapiga kura wasiofikiri. Tafasiri unavyoweza
Bongo ni tiki taka tu
Pole dadake[emoji3] [emoji3] mambo mengi hatari
Huku kwema kabisaKwema kaka, vip hali!?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pole dadake
Nitakuja kukusalimia kesho[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Karibu sanaNitakuja kukusalimia kesho
Asante dadakeKaribu sana
Nyani haon kundule na draft ukiwa nje ndio unaliona sana....inakera sana, BWM ndo alimteua Mungai na yeye barazani kwao wakaanza kuunganisha masomo, na kuondoa michezo mashuleni + masomo ya biashara
Utelez na kibarid safi kabisa ndugu yangu.Muziki: Kwenda kwa Kurudi
.....ninakusalimia Kapuku mheshimika na kutaka kukujulisha tu kuwa bila wewe jukwaa hili, yes, hapa MF pasingefaa kitu kama wewe haupo. Asante sana kwa kuwepo hapa. Ni matumaini yangu ulikuwa na weekend nzuri, upande wangu ilikuwa poa sana na kimvua hiki utelezi mwingi usitembee peke.
Muziki sasa, mtaasisi mwenzangu Nyagei kapendekeza wimbo huu umuendee wake wa moyoni Linamo , nami bila hiyana nasema tuburudike wote bila kwere