Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Muziki: Wikend Njema
Ninakusalimia na kukutakia weekend njema kapuku mheshimika. Pole kwa uchovu wa wiki nzima na leo ni furahiday. Jipe raha na nafasi ya kupumzika, usisahau kuwa na wakati angalau wa kunyoosha viungo vya mwili.
Muziki sasa, kwa niaba ya mtaasisi mwenzangu Nyagei tafadhari burudika na kibao hiki na tukutane Jumatatu tena
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Binamu popote ulipo nakufataa huwezi kunikimbia kizembe ...@obe binamu kiroho swaaafiii puliiiiz puliiiiz letiii mii noooou weyaaaa yuaaa
Shukrani mtaasisi, leo nimeacha kutafsiri sababu ya weekend [emoji2]
Nyagei
Kwani kasema mimi nanyakuliwa?Eeenh hao nyaku nyaku waambie waendelee tu
Ubarikiwe sana mtaasisi, naweza kukupa ruhusa ya kumuona BH kwa masaa kadhaa
Nyagei
Nyimbo ilitumwa ila ni tofautiBinamu shikamoo
Halaf kuna siku niliingia humu nikaomba nyimbo hivi hujaona post yangu au vipiii niliomba nyimbo ya tilda ya sweet mother
Nyimbo ilitumwa ila ni tofautiBinamu shikamoo
Halaf kuna siku niliingia humu nikaomba nyimbo hivi hujaona post yangu au vipiii niliomba nyimbo ya tilda ya sweet mother
Asante binamu kichwa safari...kumbe unayajua na majoka yale basi nimeacha, lol! Unastahili kuingia kwenye kundi la mafundi, ndo maana anko wangu hageuki kila akijidai kujipapatua anarudi, mwanzoni nilidhani ni dawa kumbe roho ndo mwamuzi.
Anko wangu Lyon Lee burudika na hiki kibao
Tunachamba kila kona,mpaka jukwaa la siasaKwahiyo nyaku nyaku wanataka kukunyakua eenh hivi wataanzaje waanze tu watakutana na mathread kila sehemu
Jaman eenh binamu samahani nipo kwenye majaribio yangu [emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani kama kuna mtu anataka kumnyakua mtu wa mwenzie mnipe taarifa kabisa niandae vichambo
Tuko pamoja mtaasisiHa hahaha, umefannya vizuri maana weekend haitakiwi kuwa ngumu sana, nafikiria kutoandika Ijumaa kipengele hiki maana hata mimi napenda ninapokunywa kabia kangu kasafari kabaridi nisiwe nafikirfikiri mambo makubwa ha ahahhaa. A
Asante mtaasisi kwa kunifanya nitafakari
Haswaa...nashukru kwa ruhusa yako, sasa nitamuona na atanipokea bila mawazo mabaya BlessedHope
Kwenda kuchepukaKwenda mawinguni au?
Nyagei
DuhYaani kama kuna mtu anataka kumnyakua mtu wa mwenzie mnipe taarifa kabisa niandae vichambo
Utafanyajeee sasa mm ndo anko wakoo kwenye hasara na faida