Furahi dayNjozi njema kwako.
Usiku mwema wadau na happy Furahiday
Kwema boss?Hahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amen, ubarikiwe mamaTUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku ya leo Ijumaa Tarehe 2 Machi 2018 Kwa Upendo Mkubwa na Neema yako Umetuamsha Baba tukiwa wazima wapo wengi walitamani kuiona siku hii ya leo kwa namna mbalimbali hawajaweza Baba Tunasema Asante kwa yote unayotutendea Tunamualika Roho Mtakatifu akae nasi Kutuongoza.
TUNAOMBA Utusamehe makosa yetu tunayokukosea kwa mawazo kwa maneno na kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu mbalimbali kwanafasi tulizonazo uturehemu Baba unatufahamu vizuri tuumbie moyo safi tukujue wewe tu
Tunawaombea Wagonjwa wote waguse Baba waponye na wainuke tena kutoka vitanda vya ugonjwa na mauti Watie nguvu wanaoguza wasipungukiwe
Baba tunaombea Familia zetu watoto wetu wake zetu waume zetu wasaidizi wetu majumbani ndugu jamaa na marafiki wakujue wewe tu na kukufuata
Baba walinde wasafiri wote wa majini nchi kavu na Angani Ukawe dereva wa kila chombo Damu yako ya thamani iwafunike.
Bariki kazi za mikono yetu zikapate Baraka yako Mfalme wa amani Utumishi Huduma Masomo mashuleni Ujasiriamali Ajira vibarua na vyote tunavyofanya viwe na Baraka yako iliyo kuu
Baba angalia Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wahitaji Wasiojiweza Wenye Uchungu Waliokata tamaa walioachwa waliotelekezwa waliokataliwa wasio na makazi waliopotea warudi makwao wanaotafuta kazi ukawe Mfariji wa pekee ukaonekane kwao Baba leo hii Baba Tukusifu na kukuabudu wewe Mfalme wa Amani Baba Bariki kila tutachogusa siku ya leo Damu Ya Yesu ikaponye kila jeraha
Tunaombea Taifa letu liwe na Amani Tunavunja kila hila za adui katika Taifa letu.
Mahitaji yetu yote yakapate kibali mbele zako.
Baba unatujua vyema Asante kwasababu Utatenda sawasawa na mapenzi yako Amen.
DAMU YA YESU ITUFUNIKE IJUMAA NJEMA
My x....Hha sasa si ungeniambia?
Aisee, hiyo ndiyo nguvu ya upendo....
80 per day [emoji15] [emoji15] [emoji15]....
Wakati mwingine wanyama wanatuzidi upendo tunabaki kumtafuta mchawi[emoji100]
Amen, na kwako pia mama*[emoji524]MAOMBI YA KUOMBA KWA AJILI YA WAGONJWA NA WALIOKATA TAMAA* .
______________________
Inawezekana ukaona kuwa mbona maombi haya yangefaa kuona na mtu moja kwa moja........
Lakini nataka nikutie moyo na kukujulisha kuwa.
" _NENO LA MUNGU HUTUMWA NA LINAPOTUMWA HALIRUDI BURE_
_HAKUNA UMBALI KWENYE MAOMBI_
_
_Kikubwa jenga Imani ya kimaombi kwa AJILI ya kile unachoomba__
[emoji120] *WAPO WATU WAMELALA NI WAGONJWA WANAHITAJI ANGALAU HATA MTU MMOJA WA KUWAMBEA TOBA KWA MUNGU* .
[emoji120] *WAPO WATU NI WAGONJWA NA WANAHITAJI MAOMBI YAKO TU.*
[emoji120] *WAPO WATU WAMEKATA TAMAA* .
_
_Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao_ ._
[emoji365] *Zaburi 107:20*
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
[emoji365] *Zaburi 34:18*
Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
[emoji365] *Isaya 61:1*
Wagonjwa hamkuwatia nguvu, wala hamkuwaponya wenye maradhi, wala hamkuwafunga waliovunjika, wala hamkuwarudisha waliofukuzwa, wala hamkuwatafuta waliopotea; bali kwa nguvu na kwa ukali mmewatawala.
[emoji365] *Ezekieli 34:4*
Nami nitawatafuta waliopotea, nitawarudisha waliofukuzwa, nitawafunga waliovunjika, nitawatia nguvu wagonjwa; nao wanono na wenye nguvu nitawaharibu; nitawalisha hukumu.
[emoji365] *Ezekieli 34:16*
,_______________
_Ubarikiwe sana mtu wa Mungu ukipata muda sema na Mungu kwa AJILI ya hili_IJUMAA NJEMA[emoji120]
Bhasi bwana yaliyotokea yametokea jana na kumekucha salama japo chondechonde naomba maombi yenu kwa mwezi huu yawe juu ya mpendwa wenu binamu yangu Obe make kila kukicha anaibuka na jipya ...binamu nakusalimia sana na nashukuru kwa uliyoyafanya usiku ....
Arsenal kama kawaida kama kawa ...uf soon
MarahabaShikamoni wakubwa
Marahabaaa hujambo mpendwa wa ObeMarahaba
Usinikumbushee lakini ulionaa mchezo ulivochezwaaa??Duh, umenikumbusha mbali sana anko, kipindi kile umelazwa kwa tatizo la ngiri, yaani hadi mabibi mifugo walikuja
[emoji134] [emoji134] Sijakuamkia mieMarahabaaa hujambo mpendwa wa Obe