Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafasiri Unavyoweza: Usawa wa Furaha

Wote tunahitaji na tunapenda kuwa na furaha kila siku. Kuitafasiri furaha inategemea utofauti wetu lakini kuna wakati tunakubaliana kuwa kuwa na furaha ni ile hali ambayo binafsi au kijamii unayaona mafanikio (prosperity), kuridhika na kuwa karibu na unayempenda au unaowapenda. Namna ya kuifikia furaha inatofautiana kati ya mtu na mtu. Kwenye taifa, taifa lenye furaha ni lile ambalo wananchi wake wana usalama, tatizo dogo la ajira, huduma bora za kijamii na kiuchumi, miundombinu rafiki kwa kila mtu na zaidi uhuru wa kupata na kutoa maoni. Tafasiri Unavyoweza.

Kwenye mahusiano, iwe ni ndoa/family au kuishi pamoja (cohabiting) furaha inakuja pale ambapo kila mmoja anachangia kiusawa katika kutoa zawadi (rewards) na kuingia gharama (costs) za kuishi pamoja. Kukikosekana zawadi na gharama katika mahusiano basi furaha haitakuwepo kamwe hata kama mtaonekana kukaa pamoja machoni mwa watu wa pembeni. Kila mmoja anapochangia furaha ndani ya mahusiano kuna faida nyingi sana kibinafsi na kwa pamoja. Utegemezi wa mmoja huondoa furaha haijalishi unapendwa au unapenda vipi. Maisha yana milima na mabonde na ukiwa tegemezi sana utaingia gharama ya kutojiamini na matokeo yake ni kutokuwa na kujiamini (unstable self-esteem) pia kujaa wivu wenye sababu ya wewe kutochangia ndani ya mahusiano (feelings of jealousy and or inadequacy).

Kuifikia furaha kuna mchakato na wakati mwingine si rahisi kama unavyoweza kutafasiri kwamba furaha huja kwa sababu ni jambo la asili (natural happiness), inahitaji muda na nguvu kuifikia furaha na kwa pamoja kuifikia furaha ambayo inaweza kuugeuza umaskini kuwa utajiri ni kwa wewe kuchangia asilimia miamoja katika mahusiano yako uliyonayo. tafasiri unavyoweza.

Nikutakie mapumziko mema ya weekend na tukutane tena wiki ijayo, tunza afya yako hii ndo furaha ya msingi.
I'm sick baby[emoji17] [emoji17]
 
Muziki: Ongeza Volume, Weekend Imeanza

Nimenunua radio mpya, yes ni ya CD, yaani ukiweka CD unaona muziki unatoka kwa uzuri kabisa, sindano unazisikia. Nimeona tu nikujulishe Kapuku mwenzangu kwa sababu wewe ni mtu mzuri na kuwa na habari zangu ni jambo zuri, pia nategemea hongera zako na namna nzuri ya kuitunza hii radio ya CD.

Ama baada ya kukutaarifu habari njema kwa upande wangu napenda nikusalimie sasa wewe mdau unayelifana jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa kuwepo, asante na leo nina furaha nyingine maana husna muba kaja, sasa utaona namna gani ninakuwa na furaha.

Asante sana anko Lyon Lee kwa UF pole kwa shululu , kipigo cha jana kimenipa maswali mengi sana, hivi ni lazima Man city awe anawapa dose ya Salama condom kila anapokutana nanyi!! Asante sana BH, BlessedHope kwa maandiko yako ya sala na maombezi, unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Muziki sasa, weekend njema mdau.

Asante Obe kwa music [emoji445]
 
Kumbe vilipata mwenye navyo
a0bd53f3e6f939dde02d4b614cc6d000.jpg
a82e282bd653d5729b96dc3af81e8f80.jpg
 
Muziki: Ongeza Volume, Weekend Imeanza

Nimenunua radio mpya, yes ni ya CD, yaani ukiweka CD unaona muziki unatoka kwa uzuri kabisa, sindano unazisikia. Nimeona tu nikujulishe Kapuku mwenzangu kwa sababu wewe ni mtu mzuri na kuwa na habari zangu ni jambo zuri, pia nategemea hongera zako na namna nzuri ya kuitunza hii radio ya CD.

Ama baada ya kukutaarifu habari njema kwa upande wangu napenda nikusalimie sasa wewe mdau unayelifana jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa kuwepo, asante na leo nina furaha nyingine maana husna muba kaja, sasa utaona namna gani ninakuwa na furaha.

Asante sana anko Lyon Lee kwa UF pole kwa shululu , kipigo cha jana kimenipa maswali mengi sana, hivi ni lazima Man city awe anawapa dose ya Salama condom kila anapokutana nanyi!! Asante sana BH, BlessedHope kwa maandiko yako ya sala na maombezi, unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Muziki sasa, weekend njema mdau.

Hongera binamu kwa kununua radio ya cd
 
Back
Top Bottom