Weka kwenye bags
Shukrani mkuu nimekuita mkuu kwa leo mkuuTafasiri Unavyoweza: Swali na Masahihisho
Usije ukadhani kuwa kila swali lina hitaji majibu, usitegemee utakutana na hali ya jana kila siku maana jana na leo ni siku mbili tofauti na kwa kuwa ni mbili basi sahau kuona moja jumlisha moja u=inakuwa tatu na si mbili. Kwa kwa kuwa moja na na moja ni mbili na wala si tatu kwa kujumlisha basi hoja yangu ya kutafasiri inasema kuwa si kila swali linahitaji majibu, maswali mengine yanahitaji marekebisho na si majibu.
Unaweza kujiuliza kwanini pamoja na kuwepo kwa rasilimali chekwa kwenye taifa letu bado umaskini uliokithiri unatamalaki na kumea kama uaridi kwenye samadi. Hapa kujiuliza swali ukitegemea majibu ni kujidanganya na kujilisha upepo tu, swali unalojiuliza ni lazima ulirekebishe kwanza, lifanyie masahihisho ndo liwe swali vinginevyo linabaki kuwa ni maneno yenye kiulizo badala ya nukta.
Unajiuliza haki yangu iko wapi, unapoteza muda, haki huletewi kwenye sahani. Fuatilian na ndipo utagundua kuwa unapaswa kutafasiri unavyoweza kila ninachoandika na kila unachosoma maana asubuhi ninatafasiri vingine na mchana nikishiba tafasiri ya asubuhi inabadilika. Tumewaona wanaotaka tuwaombee ilihali hawataki kuwauliza tuwaombee juu ya nini na hapa ndo majibu kabla ya swali. Tafasiri unavyoweza
Shukrani mkuu nimekuita mkuu kwa leo mkuu
Hakuna namna mke mweee acha nikamatie tu mmShika shikamana
Karibuni sana ,mzima Obe msalimie sana na Mungu awabarikiMama mchuchu happy birthday mama kipenziii
Niko na binamu Obe tunaandaa mazawadiiiiii ...kuna ujio maalum
[emoji7] [emoji7] [emoji8]Thanks Love
Obe zawadi ni zawadi naamini ya upendo ni kubwaa...ila hujawa wa mwisho kujua mbona iko wazibkabisa tarehe yangubya kuzaliwa kwa profile nilidhani nayo inatoa notification...jaman karibuni na asante kuniwazia mema na kunitakia mema nawapenda sana...anko, hivi kwanini mimi ninakuwaga wa mwisho kujua? Au kwa sababu napenda kula ukoko so hata kama ninajua ninakuwa nasahausahau!!
Halafu hii ya mazawadi ungeweka siri iwe sapurayisi hadi tupate magift pepas. Wewe unataka tuweka zawadi nzuri kwenye sandalusi
Karibu ObeMajukumu siwezi kuyakwepa maana kuna wengine wakiniona navyomzimia wanaweza wakadhani mbinu mbadala zimetumiaka kumbe ni L. O. V. E ndo imetawala kwangu kwake.
Sasa wewe andaa zawadi nakuja kuzichukua nizipeleke maana huchelewi kutake advantage, na risiti nipatie kabisa ukose sababu
Tunampenda sana mama mchuchu Mungu azidi kutuwekea jamaniHappy Belated Birthday Wishes BlessedHope
Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.
Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.
Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kukumbuka kuzaliwa kwako BH
(nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia
Asante sana my SON NAJUA UTAKUJA SOON,NINA MENGI YA KUKUELEZA KARIBUUUZawadi yako nitakuletea
We love u too[emoji7] [emoji7]Obe zawadi ni zawadi naamini ya upendo ni kubwaa...ila hujawa wa mwisho kujua mbona iko wazibkabisa tarehe yangubya kuzaliwa kwa profile nilidhani nayo inatoa notification...jaman karibuni na asante kuniwazia mema na kunitakia mema nawapenda sana
Uwiii Obe...Asante...Asante kwa Upendo..unaniongezea imani kubwa kuwa hapa MUNGU YUPO.NI MARA CHACHE SANA KUPATA WATU WANAOJALI NA KUTHAMINI WENGINE..NISEME UKWELI MAHALI HAPA PAMEKUA FARAJA YA PEKEE MARA ZOTE NAHITAJI KUWA NANYI NA KUSEMA NANYI JAPO NENO MOJA TU LA UPENDO..SIJAWAHI ZUNGUKWA NA UPENDO WA AINA HII WA KILA MTU KUNIJALI,KUFUATILIA,KUFAHAMU NINAVYOJISIKIA NA KUBWA KUNITAMKIA WAZI KUWA NAPENDWA..ASANTE OBE MUNGU AKUZIDISHIE KATIKA KILA HITAJI LAKO,AONGEZE UPENDO ATUSAIDIE TUONGEZE MSHIKAMANO NA UKARIMU...NAKUPENDA OBE...NAWAPENDA MAKAPUKU WOTE MBARIKIWE SANAHappy Belated Birthday Wishes BlessedHope
Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.
Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.
Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kukumbuka kuzaliwa kwako BH
(nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia
ASANTE SANASANAHayo maeneo ya public ukifanyiwa surprise hiyo unajikuta umekuwa mpole na unatoa vya kutoa Bila shuruti Kazi ni ndogo sana hiyo kwake Hao wanaolia ni watu wa Daslamu hao Hilo ni zaidi ya kaburi maana lilisumbua humu kama katrina Ubarikiwe mama, nipo nawe kwenye maombi
Khaaaa...LEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hayo ndo mambo sasa ....sio unabwetekabwetekaaa utakufaa nayo moyoniii
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ukiona hivyo utakuwa hauna kismati [emoji23] [emoji23]
Ukampokee popote mwananguHahaha
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Hiyo GIF ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]