Makapuku Forum

[emoji524]Imeandikwa katika ZABURI 37:5 kuwa "umkabidhi Bwana njia yako,pia umtumaini,naye atafanya"

Hivyo ninaikabidhi siku hii mikononi mwako,Bwana itawale katika jina la Yesu.AMEN
Happy womb escape mama mchungaji.

Mimi toka nikufahamu sijawahi kujutia..! Manake kila nikigeuka hivi nakutana na neno la Mungu.

Mungu aendelee kukuweka mama.

Enjoy
 
Mama mchuchu happy birthday mama kipenziii

Niko na binamu Obe tunaandaa mazawadiiiiii ...kuna ujio maalum


...anko, hivi kwanini mimi ninakuwaga wa mwisho kujua? Au kwa sababu napenda kula ukoko so hata kama ninajua ninakuwa nasahausahau!!

Halafu hii ya mazawadi ungeweka siri iwe sapurayisi hadi tupate magift pepas. Wewe unataka tuweka zawadi nzuri kwenye sandalusi
 
Ngoja nifunge domo langu binamu lakini hipo siku

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…