Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Safi sana

Safi sana

Ukiona sipo jf unajua pa kunipata week end hii ndugu busy na kuhudumia ndoa unajua ninavyobanwa dada hata jf nashindwa ingiaUmeenda wapi wewe
Kuna kashfa nimeona
ShikamooUkiona hovyo ujue tumekua na majukumu yameongezeka
Kapuku ya enzi hii kwishney kabisa limebaki jina tuKapuku ya enzi zilee
Marahaba dogo langu, mzima??Shikamoo
Pole mwaya.. Mwenyewe naingia kwa kunyapia tuuUkiona sipo jf unajua pa kunipata week end hii ndugu busy na kuhudumia ndoa unajua ninavyobanwa dada hata jf nashindwa ingia
Inaweza kurudi upyaKapuku ya enzi hii kwishney kabisa limebaki jina tu
Nimejisikia raha sana umeitikia shikamoo toka moyoni kabisaMarahaba dogo langu, mzima??
Kunyapia ndio mtindo wa sasa ahahah nimeingia hapa kwa machale hiyo kashfa inahusu nini tenaPole mwaya.. Mwenyewe naingia kwa kunyapia tuu
Mh sidhaniInaweza kurudi upya
Sijaisoma wala... ImefutwaKunyapia ndio mtindo wa sasa ahahah nimeingia hapa kwa machale hiyo kashfa inahusu nini tena
Ilikuwa inamuhusu naniSijaisoma wala... Imefutwa
WoooiiIlikuwa inamuhusu nani
Ahahaha ebu njo kule makutano yetu uniambie vizuriWoooii
Vyuma vimekaza usisahauShkamoo
Majukumu yameongezeka
HakikaShkamoo
Majukumu yameongezeka