Makapuku Forum

MZIKI ; sikiliza kitu roho inapenda

Pole sana binamu wangu wa faida kwa yaliyokupata jionii hii lakini ndo raha ya kupata mchepuko chipukizi ...yaani binamu wanngu acha tu awe binamu make kichwa chake ni yeye akili ni za babu yetu kabisa anyway nakusalimia kapuku mwenzangu make uwepo wako hapa ndo kunalifanya jukwaa liwe la aina yake ...asante wote walioshiriki kulijenga taifa kwa njia moja au nyingine na uzur siku hizi taifa hata mitandaoni linajengwa ....ndo tz yetu

Mziki sasa ...kwa niaba ya bimamu Obe nakuletea kitu hiki na ni chaguo langu make yaliyoimbwa yamemtokea shemeji yangu halali kwa binamu yalimshinda ya binamu akaamua amwachie uhuru ...

 
Reactions: Obe
Asante na nashukuru sana anko, wewe mwenyewe unajua kabisa mambo yalivyokuwa, ningejidai kukaa ungeniovateki maana akili zako na za babu hazitofautiani.

Muziki mzuri kabisa
 
1WATHESALONIKE 5

17.Ombeni bila kukoma


Tunakumbushwa kuomba.

Tusiache kuomba.

Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.OMBA ASUBUHI, OMBA MCHANA,OMBA JIONI,OMBA USIKU,OMBA USIKU WA MANANE.

Kuna nguvu
katika maombi.

Omba wala usikate Tamaa.
 
ANZA SIKU NA BWANA
KWA NENO NA MAOMBI
*WARUMI 12:17&20*
17 Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
18...
21 Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Mpendwa hebu angalia
1. Je uhusiano wako
na watu wengine
ukoje?
2. Je unaangalia
kuwatendea mema
wengine?
3. Je unaweza
kuushinda ubaya
mtu anapokutendea
ubaya?
*TAFAKARI NINI UNACHOKIFANYA* *KWA MWENZAKO*
Barikiwa mno mwana wa Mungu uwe na *Jumamosi* njema ya kuushinda *UBAYA* kwa *WEMA* .
 
Kapuku ya enzi zilee

Shukrani sana mkuu JJ

Hatutaki maneno mengi
Tunataka vitendo tu
.....

Amen madam


Niyonzima vipi?
Keshasaini Simba au kasaini Bongo muvi
Watani mchukueni tu Prof Hakuna Lipumba wa CUF Fc
.....

Maneno yanachosha

Mbali wapi huko?

Nimeshakaribia

Zamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
"Kuwalazimisha" kunaifanya iwe batili
........


Enzi uzi unaanza. Kipindi hicho alikuwa anaitwa Jambilo

vita ilipiganwa hadi Jan 15 1970 ambapo jimbo la Biafra lilishindwa vita na hivyo kumezwa na Nigeria
.......

Na itakuwa bonge la usajili
Ataenda kulala kwenye jengo lao mtaa wa Msimbazi
......

Neno Kapuku halina maana yoyote ni swaga tu
........

Karibuu...

Kama nakufahamu


Shukrani sana mkuu JJ

Hatutaki maneno mengi
Tunataka vitendo tu
.....

Amen madam


Niyonzima vipi?
Keshasaini Simba au kasaini Bongo muvi
Watani mchukueni tu Prof Hakuna Lipumba wa CUF Fc
.....

Maneno yanachosha

Mbali wapi huko?

Nimeshakaribia

Zamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
"Kuwalazimisha" kunaifanya iwe batili
........


Be blessed
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…