Kuna muhubiri fulani hivi miaka ya 90s alikuwa anahubiri sana hapa nchini unamkumbuka?
MkuuHello
ShikamooMkuu
Asante sana binamu nimejifunza kituTafasiri Unavyoweza: Kinyongo, Sahau Utimamu
Kinyongo kwa lugha rahisi ni ile hali ya kutotaka kusahau jambo ambalo lilikuumiza na mara nyingi ulifanyiwa na mtu au watu. Kwa kiingereza hiki tunaweza kukiita (grudges). Mtu mwenye kinyongo ni mtu ambaye hataki kusamehe, anashikiria jambo lile lile kwa muda wote hata kama ameombwa msamaha, hasahau, anaweka kitu moyoni na mara nyingi hujiandaa kulipa kisasi kisa tu hakupendezwa na namna mtu mwingine alivyomtendea. Kinyongo hukihitaji, hakisaidii hata kidogo, tafasiri unavyoweza.
Kinyongo ukikiendekeza kitakuwa mimba ambayo huzaa hasira, msongo, kisasi na nia ya kufanya dhuluma kwako binafsi au kwa unaohisi walikukosea. Kukoseana ndo maisha na kwa kuwa maisha yanaendelea hata iwe vipi haina haja ya kukaa na kitu ambacho kinakuumiza. Kiache, na uendelee na maisha mengine. Usiweke kinyongo, hakisaidii na wala hakikufanyi wewe kuwa wa kipekee bali kitakusababishia uonekane kichaa, tafasiri unavyoweza.
Vipi utaepukana na kinyongo, kwanza, kubali kuwa huishi peke yako kwenye jamii, na nikichukulia mfano wa timu ya mpira wa miguu au pete, huchezi peke yako, wakati mwingine utakumbana na vikumbo na tackling za haja, ni sehemu ya mchezo na ndiyo kama maisha yalivyo, utakwazwa na kukukwaza wengine na muhimu ni kukazana kuepuka kuweka kinyongo. Njia ya pili ni kukubalia na kuamua kuendelea na maisha yako. weka wazi umekwazika na nini, hii itakusaidia kukimaliza kinyongo, maongezi na wengine husaidia. Na dawa nzuri kabisa ya kuondokana na kinyongo ni kusamehe, dumisha upendo na kuwa muungwana. tafasiri Unavyoweza.
Nikutakie Wikend Njema, Hadi Jumatatu Tena.
Asante sana binamu nimejifunza kitu
Asante aunt, ninafurahi tunaelimisha sote.
Fukufuku bado wapo zama hizi kweli π
Ahsante mkuuTafasiri Unavyoweza: Kinyongo, Sahau Utimamu

Ahsante mkuu
Umekosea auShikamoo
Kidogo nikuitee mkuu binamu...Asante aunt, ninafurahi tunaelimisha sote.
Fukufuku bado wapo zama hizi kweli π
Hapo ndo naamini binamu huwa anapita kila sehem kimya kimyafukufuku wa zama hizi ni fukufuku watu sio wadudu tena
HahahaUnaenda wapi jaman mdada wa gauni la blue nataka nipost pic yako
Kidogo nikuitee mkuu binamu...
Asante kwa busara zako hapo juu
Namzooom tu binamuu....anyway najua wewe ulipo kuna usalama wa kutosha sio tena mambo ya kukurupuana usku wa manane nikutafutie uber....kuna jambo analitafuta huyu π π π
Nimeona lakini uzuri akilii ilikua bado kibusarabusaraaa ndo maana ukamuitikiaHa ahahaha, naona Mkushi wa kusi anaiita mkuu, lol!
Aahhahah umeamini eenh na usikute anafatilia thread nzimaHapo ndo naamini binamu huwa anapita kila sehem kimya kimya