Makapuku Forum

Hahaha
Nakumbukaaa my dear
Baba yeyoo yupo znz huwaga tunamsumbua na espy athletes ubuyu akisema nimpe nani hatuna wa kumpa

Kuna rafiki yangu yupo znz huwa analetaga biashara huku dar kuna siku nimekutana na baba yeyoo jukwaa la mchanganyiko nikampa no kwenye thread ya watu akipata ubuyu awasiliane na huyo mtu

Ile siku uliyomtania
ndio siku niliotoa no basi kweli akamtafuta na ubuyu akampa ukanifikia majuzi ikabidi nimfate pm kumshkuru

Akacheka akaniambia ujue shunie me nina wivu kweli hata maisha yangu halisi niko na wivu sana
talaka ipo pale pale acha nicheke
 
Hahaha
Kwa hiyo ubuyu umekula mwenyewe
 
Hahaha
Kweli meno yanaumiagaa, ingekuwa keki poa!!
Hivi mlijuana lini mpaka mkulane bila mie kujua??
Khaaa.
Tumekulana wapi sasa auntie ndio wanatanianaga mkwe espy mbona mda tu kwahiyo hujawai muona

Ni mmasai huwaga ananiita mama yeyoo na me namwita baba yeyoo ujue kapanick kweli akaniambia shunie nina wivu utafkili nakujua na me nipo hivyo hata kwenye maisha yangu kwahiyo nishakuacha
umebaki rafiki mwema kama ubuyu hujaupenda niambie nikununulie mwingine rafiki yako akija nitampa sawa rafiki basi mm akiniita rafiki mbavu sina
 
Sawa bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…