Jumatano nzurii kwa wale wote tuliobahatika kuiona na wenzangu na mim ni siku muhimu sana siku ya majivu na tumkumbuke Baba Muumba wetu kwa kutenda mazuriii....
Magazetiii soon ...kwa udhamini mnono wa binamu wangu jamaa langu la faida lenye busara sema shida yake moja kubwa hapendii kupitwa na chochote kizuriiiii ....