Binamu asante kwa maneno kuntu
kwani story ya kariakoo nan alikwambiaa
Itabaki history mkuu amini nakuambia
Ankole malcom ebu muitie baby brotherKwani ni mchumba tu kama wolper mwambie aje nijilipue mabomu tuone Battle kama huu Uzi haujafutwa
Nimekusomaaa binamuuuuu.......shaka ondoa ngoja tar 14 ipite si unajua chelsea inajiandaa na barca..shukrani mjomba, najua uko tight na YOB ndo maana hutupii madini humu kama mwaka jana, basi ukipata muda japo makinikia (magwangara) yatafaa maana tumekosa UF, Falsafa na mengi tu, you noo wara amu seying'i
Kisa nilikuzungukaa baada ya wewe kunituma...yule shombe aliyeachwa na Shehe Tito
Call herAnkole malcom ebu muitie baby brother
Khaaaaa sijawaigi mie kuwa na I'd zaidi ya hiii mbili za nini mm natafuta wachumba auHivi kwanini ulitupaga ile ID yako ya zamani lakini ???
Muambie malcom akuitieCall her
Itakuwa wapo bussy wanajilipuaMuambie malcom akuitie
Nimekusomaaa binamuuuuu.......shaka ondoa ngoja tar 14 ipite si unajua chelsea inajiandaa na barca
Binamu sijakusalimia shikamoo...usinikumbushe anko, hii timu inaweza kuwakimbiza ngiri porini wakahamia kwangu.
Yaan yule moto wake kama wa Connor hata wewe humuingii
Ahahhh Connor ni chiziHahahah Connor,
Binamu sijakusalimia shikamoo
Makaveli kahamia jukwaa la chini kabisa ndio nyumbani kwake anaposhinda.shululu , Tumosa , Sakayo , BlessedHope , Bitoz , husna muba , Transcend , Clkey , SHIMBA YA BUYENZE , Da'Vinci , Werrason , Jimena , dumejeuri , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , koncho77 , ABJ , demi , Valentina , Mkushi wa kusi , Alfa Mwijumbe , makaveli10 na wewe unayesoma sasa, sina haja ya kuita jina lako kukukaribisha hapa, maana nyumbani hukaribishwi
Me nakuamkia siku zote mpaka kesho kuendelea hivi mama zitaingiaje na ule mwili mnunulie mpya kwa wamasaiLeo naipokea shikamoo, kesho usijaribu na wikend yote, utaniamkia tena jtatu.
Mama mchuchu hajambo lakini? Zile mambo nimnunulie mpya kwa wamasai au nimletee used?