Makapuku Forum

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao watu wapo na wanejenga na wana maisha mazuri kwa kubet
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao watu wapo na wanejenga na wana maisha mazuri kwa kubet

He was a milionaire aisee!
Nakumbuka aliwatapeli sana Wahindi kipindi kile cha Kusakwa wahujumu Uchumi.
Wahindi walikuwa wanakuja kuficha vitu vyao kwenye Go-down lake na kufukia kwenye shamba lake.
Jamaa alikuja kuwaruka wale Wahindi, Mwinyi anakuwa Raisi jamaa ashakuwa tajiri mkubwa sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] respect kwakee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…