Makapuku Forum

Nakupenda sana binti yangu ubarikiwe[emoji173]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
...niupate wapi anko, aunt yangu anajijua kabisa mimi kwake ni kama mwenye mapengo na popcorn. Hawezi kunielewesha hata kama kalewa, atabaki kunishangaa tu kama kakatikiwa shanga kwenye daladala za Mbezi.
kwanini Mbezi, huko wengi hawazivai
Shangazi wako mm sina cha kusema make mnajuana nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…