Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Ahahaa au ukufwe na utamu wako ebu ngoja kwanza nikufkilieAu unaonaje jamanii.... Mie nikakufwe na shoti kweeli
Ahahaa au ukufwe na utamu wako ebu ngoja kwanza nikufkilieAu unaonaje jamanii.... Mie nikakufwe na shoti kweeli
Wa nini wakati ninae wa kunitulizaaaTeh
Na yeye naona kakumiss kweli ila jaman me nimemmiss ABJ kiukweli akuje tu kututembelea
Ni kweli haujakoseaEtii uongo ?
Tugombane tuuShunie ana wivu na pesa mtagombana
AhahahhahahWa nini wakati ninae wa kunitulizaaa
Uanziee wapiiiiAhahahhh eti nishawahi angusha gari
Sawa
Khaaa kugombana tena basi Dada dangote wangu hapanaTugombane tuu
Mie sitaki nyingi
Ndo nashangaa utoke milele kwa lipi?Sa ID ingine kwa lipi
Labda niliangusha nikawa sijijuiUanziee wapiiii
Labda kumkata makofii trafik ndo nakiona mbeleni
Hapana aisee sijawahi fikia huko toka nianze kunywa beer na sitafikia hukoUnakipimo c h ako eeh?
Nikajua unaagiza bila hesabu ungeangusha tu mana hazimuachi mtu salama
Mtihan mkubwa ika kama shunie atatulia tumtafutie mchepuko kwanza wa kutuliza mawazo ikiwa zamu yakoNipe dangote
SitakiiiiiiMtihan mkubwa ika kama shunie atatulia tumtafutie mchepuko kwanza wa kutuliza mawazo ikiwa zamu yako
He heSikunyimii nakupa chochotee
Lakini mugabe si yupo ana mielaa aliyoitunzaaSitakiiiiii
EwaaaaaaAhahaa au ukufwe na utamu wako ebu ngoja kwanza nikufkilie
Kweli kabisaaHe he
HeeehKhaaa kugombana tena basi Dada dangote wangu hapana
Manga umenishindaNdo nashangaa utoke milele kwa lipi?