..asante, kumbe ndo huyo huyo, umenikumbusha mbali sana hadi machozi yanataka kunitoka, alikufa kifo kibaya sana yaani acha tu, kwa hiyo unamcheza biko , unapata nini sasa?
...hongera, ulifaulu la nne kumbe? Mimi nilirudia mara kibao hadi wakaniambia mikae mwaka miwli home ndo nije nianze la kwanza tena. Kuna watu mna bahati sana