Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Anapenda mahandsome na wakati wenzie tunapenda sura ngumu sura za kazi sura za kiume teh kweli watu tupo tofauti
hivi hapo mimi naangukia wapii etiiiii

Anapenda mahandsome na wakati wenzie tunapenda sura ngumu sura za kazi sura za kiume teh kweli watu tupo tofauti
hivi hapo mimi naangukia wapii etiiiii

Aiseee sasa naficha nini mimi kwahiyo nakulana na tivu au nipumzisheni jamani pls tukubali maamuzi take huwezi mladhimisha mtuMbona kama unajua kitu mkuu, na kuna kitu unakificha??![]()
![]()
![]()
"In Jona voice"
Mpaka nimtajeMke yupiiii....
Nakupenda mnooo sema huniamini me siwezi kukuficha hakiii simjui young sema nitajitahidi nimjue tu ahahahhhJamaaani
Najua siku hizi hunipendi
HahahaaaaShunie ashanipa dadake sina hamu na huyo
Unaangukia pua![]()
![]()
![]()
![]()
hivi hapo mimi naangukia wapii etiiiii
![]()
![]()
![]()
Nilipita mama kimya kimyaKumbe ulikuwepo eeh
Shikamoo karibuHabari zenu ndugu..
Nawasalimu..
Tivuu ni nani babeAiseee sasa naficha nini mimi kwahiyo nakulana na tivu au nipumzisheni jamani pls tukubali maamuzi take huwezi mladhimisha mtu
Ahahahhh aiseeeUnacheka au unalia, mbona sura ka ya Mtanga wa comedy
Nimesahau mie uliuliza niniNimeulizaaaa
Huo mstari Wa mwisho ndo mtamuuuuNakupenda mnooo sema huniamini me siwezi kukuficha hakiii simjui young sema nitajitahidi nimjue tu ahahahhh
AhahahhhhAtakuwa na pepo bayaaa ....
Niliguna kimoyomoyohivi ulipita kimya au uliguna
Wapo majukwaa mengine