Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Hilo sio ombi ,ni amri....mpenzi wangu safari yetu ya Zanzibar lazima twende wote, hizi safari fupi fupi kila mmoja apate uhuru wake. Nakupenda, si unajua hilo au unadhani nitachoka kukwambia hili?
Labda achemshe mayai, au maji ya kuoshea "gigy money"Ndio hapo jamaan sema hali ya hewa inaruhusu itamsaidia teh
Wanakuja wenyewe.Haya, matunda yenu haya hapa
Hilo sio ombi ,ni amri
...amri yako kwangu ni shurti, nisije nikajidai kwenda mwenyewe nikarudi ukaamua kunipima mkojo
Happy Born Day Nyagei...Asante Obe UbarikiweMuziki: Happy Birthday Nyagei
...nimeiona humu ndani na kwa vile Nyagei ni mtaasisi mwenzangu, nimeiona isiwe shida nikitumia kipengele hiki kumtakia hongera nyingi wakati anapokumbuka tarehe ya leo miaka anayoijua yeye alipozaliwa. Leo ni siku yako mdau na hongera sana. Ujue wewe ni mtu mzuri sana na unaposheherekea leo basi jua kabisa KF iko pamoja na wewe.
Jamani tusimsumbue Nyagei, leo yupo kwenye siku yake ya mwezi wa december. Hongera zaidi kwa wote ambao mnaona siku zenu mwezi wa 12. Siandiki mengi kwako maana kwanza kabisa najua, ulituweka wazi humu kuwa muziki unaopenda ni wa Jazz na George Benson ni mwanamuziki unayemfurahia, hongera tena na tena.
Muziki sasa, kusindikiza Birthday ya mdau mwenzetu tundomboleke na kisha tutulie kwa jazz
Happy bord-date Nyagei, Jukwaa hili ni zuri sana kwa kuwa wewe upo hapa
na huyu ni GB unayevutiwa naye zaidi
Njema za majukumu ubarikiweHabari za jioni rafiki
Happy Born Day Nyagei...Asante Obe Ubarikiwe
Fyuuumbaaafyuuu zaaaakooo na hakupendi ng'oo..asante BH, nimemuandikia Nyagei maana niliona umemuwish mapema asubuhi, asante kwa kutujulisha. Nashukuru kwa kunitakia mibaraka mingi nami kwa uzito huo huo nakutakia mazuri mengi na zaidi unipende basi jamani. (NB: aliyeandika haya maneno madogo anaweza asiwe mimi, mnajua kabisa naamini)
Hujambo lakini?
Asomba tukutukuMuziki: Happy Birthday Nyagei
...nimeiona humu ndani na kwa vile Nyagei ni mtaasisi mwenzangu, nimeiona isiwe shida nikitumia kipengele hiki kumtakia hongera nyingi wakati anapokumbuka tarehe ya leo miaka anayoijua yeye alipozaliwa. Leo ni siku yako mdau na hongera sana. Ujue wewe ni mtu mzuri sana na unaposheherekea leo basi jua kabisa KF iko pamoja na wewe.
Jamani tusimsumbue Nyagei, leo yupo kwenye siku yake ya mwezi wa december. Hongera zaidi kwa wote ambao mnaona siku zenu mwezi wa 12. Siandiki mengi kwako maana kwanza kabisa najua, ulituweka wazi humu kuwa muziki unaopenda ni wa Jazz na George Benson ni mwanamuziki unayemfurahia, hongera tena na tena.
Muziki sasa, kusindikiza Birthday ya mdau mwenzetu tundomboleke na kisha tutulie kwa jazz
Happy bord-date Nyagei, Jukwaa hili ni zuri sana kwa kuwa wewe upo hapa
na huyu ni GB unayevutiwa naye zaidi
Asomba tukutuku
Asomba lai lai..
Fyuuumbaaafyuuu zaaaakooo na hakupendi ng'oo
Ahahahh maji ya kuoshea gigy moneyLabda achemshe mayai, au maji ya kuoshea "gigy money"
Kho kho kho..asante BH, nimemuandikia Nyagei maana niliona umemuwish mapema asubuhi, asante kwa kutujulisha. Nashukuru kwa kunitakia mibaraka mingi nami kwa uzito huo huo nakutakia mazuri mengi na zaidi unipende basi jamani. (NB: aliyeandika haya maneno madogo anaweza asiwe mimi, mnajua kabisa naamini)
Hujambo lakini?
Labda giggy money ana bakteria au baada ya kwichi kwichi akishamwagia maji ya uzima anatoa harufu kali.Ahahahh maji ya kuoshea gigy moneyna wakati maji ya moto sio mazuri kwa gigy money woiiii
Ya uvugu uvugu bhana..Ahahahh maji ya kuoshea gigy moneyna wakati maji ya moto sio mazuri kwa gigy money woiiii
Mie ndio maana sipendi kukaa karibu na mama mkwe, waweza jikuta unabambia bure.. mopao hapa alipiga ngoma....hili linyimbo huwa nalisikiliza kila wakati maana mopao katisha mbaya afu kuna kale kasauti ka huyo mdada mambo ya chukuchuku yaani ukiwa high kichwani unaweza kujikuta unamwambia mama mkwe acheze kidogo chukuchuku kama umeenda kuwasalimia ukweni
Ahahahh maji ya kuoshea gigy moneyna wakati maji ya moto sio mazuri kwa gigy money woiiii