...mimi kwako najijua full gundu, wakikukosea wengine zigo lote naangushiwa mimi, mbaya zaidi nawekewa na mipaka kabisa hakuna maji wala juice! Maji ni uhai usiwe unanifanyia hivyo,
BlessedHope hatafurahia najua (au na yeye anakuungaga mkono vyenye unanifanyia)