Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Mdhamini Hataki Maneno

...nilikuwa naangalia soka hapa na kwa kweli game ilikuwa 'tamu' kifupi timu nayoishangilia imeshinda. Narudi kwenye muziki sasa maana mdhamini wa muziki wa wikend ambaye kwa bahati mbaya ni aunt yangu tunayempenda kasema hataki maneno na mimi siwezi kumjaza maneno maana kiukweli wikend hupaswi kuwa na stress na ndo siku ya kudelete na kudownload mambo mapya.
Mdhamini hataki maneno na hajataka hata kudedicate muziki kwa yeyote, so sikiliza at your own risk maana Shunie hataki maneno

TUOMBE PAMOJA ASUBUHI YA LEO ......03/12/2017

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu uishiye milele na ULIYEUMBA Mbinguni na Duniani. Tunakushukuru kwa kutuamsha Asubuhi ni wazima na wenye afya
Leo ni siku ya tatu mwezi wa 12 jumapili njema uliyoifanya Bwana ndio mwezi wa mwisho wa mwaka 2017 TUNAKUSHUKURU SANA

TUNAOMBA UTUTAKASE kwa Damu ya Yesu
TUNAMPINGA shetani na kazi zake zote PAMOJA NA AGENTS WAKE

Tunaomba MKONO WAKO WA UPONYAJI NA ULINZI NA WENYE NGUVU YA KUTUFUNGUA UWE JUU YETU SOTE,
NINAWALETA WAGONJWA WOTE WALIO HOSPITALI NA WALIO MAJUMBANI
MUNGU WAPONYE KWA JINA KUU LA YESU KRISTO
WAPIGANIE WAFUNGWA WAKAPATE KUWA HURU,NA WOTE WANAOSAFIRI WAFIKE SALAMA KULE WAENDAKO
HATA WALE WALIO KATIKA SHEREHE SIKU YA LEO WASHEHEREKEE KWA UPENDO NA SALAMA LEO
MUNGU BABA Tunaomba tulinde siku ya leo
,tuepushe na mipango ya shetani yote dhidi yetu...
Tunaomba ubariki kazi za mikono yetu ,ofisi,usafiri,mashamba,ardhi, shule, hospitali,viwanda, kampuni, na miradi yetu kilimo ,ufugaji pamoja na masomo yetu na watoto wetu
Mungu wa mbinguni tunakuomba ukutane na hitaji la kila mtu mmoja Mmoja upate kusema na Moyo wake
Ni kupitia Jina la Yesu tunaomba tukiamini .
Kwani
Kuiona asubuhi YA LEO HII UPENDO WAKO natambua kuna MAMBO magumu mengi Tumekutana nayo usiku ila Mungu Umetulinda NA KUTUPIGANIA najua KULALA KWA MWANADAMU ni wajibu wa kila siku ila kuamka ni NEEMA YAKO MUNGU KWETU tu ..
HIVYO TUNAKUSHUKURU SANA MUNGU KWA kutuamsha salama .
kwani tulilala wengi lakini tulio chaguliwa kuiona leo tukiwa wenye nguvu ni baadhi tu
Sio kwamba sisi ni wema sana
Isipokuwa ni NEEMA NA UPENDO WA MUNGU JUU YETU

MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI
UKITAFAKARI UPENDO WA MUNGU JUU YAKO

AMANI YA BWANA IKAWE NANYI..ITAWALE.

AMEN
Amen
 
045145252739fbd040da4af4b0e5d99d.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom