Makapuku Forum

Napenda watu kama nyinyi ukiwa strong kama hv utaishi maisha yako kwa furaha katika hali yoyote..

Nataman dunia nzima ningeiambukiza tabia n moyo wangi.. hasa katika mahusiano.
Yaan maka me nilivyo nitakupenda lakini nionyeshe drama zako nitakuchukia mara mia utajiuliza hivi huyu ni yule shunie halaf nakusahau dk sifuri tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…