Tunakupenda maka unacheka na kila mtu huna majivuno wala hasira Mungu azidi kukulinda na kukuweka [emoji7][emoji120]Napata faraja ya moyo kuona kuna watu wapo wananipenda..[emoji7] [emoji7]
Kweli maka umesema acha nikitulizeTulia shunie utakuja kuona, usivyopaswa kuona ndugu yangu.. shaur yako.[emoji23] [emoji23]
Kwa wewe ntauza mpaka kibanda changu cha urithi, ili mradi usikose..Nataka pound [emoji39][emoji39][emoji39]
Ni picha wanayotuonyesha katika uchaguzi wa 2020Shenzi hao..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ufanye uuze uniletee pound mieKwa wewe ntauza mpaka kibanda changu cha urithi, ili mradi usikose..
Kifupi umepata, labda useme jingine km wataka kunitoa roho kabisa, maana pound tu nauza kibanda cha urithi..[emoji23] [emoji23]
Wanaume sie utatuweza.. tumezidisha ukware. Tunaendekeza kicha cha chini kuliko cha juu chenye akili timamuAhahahh kama nakuona huko ulipo kule watu ni washenzi unaweza ukajitokeza tu kucomment lijitu linapotokea huko linaanza sasa mtu usisifie kama pic nzuri au video utasikia shunie njo kwangu kama hiyo mfyuuu
Na kweli nyie viumbe naviheshimu sanaWanaume sie utatuweza.. tumezidisha ukware. Tunaendekeza kicha cha chini kuliko cha juu chenye akili timamu
Nauza mamii, kama ikishindikana kupata mteja, ntakupa kabisa uuze wewe, ujigawie kabisa unachotaka kitakachobaki utanipa kama kiporo[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ufanye uuze uniletee pound mie
Nauza mamii, kama ikishindikana kupata mteja, ntakupa kabisa uuze wewe, ujigawie kabisa unachotaka kitakachobaki utanipa kama kiporo[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ufanye uuze uniletee pound mie
Lakini ujue mie simo, nimestarabika siku hizi, nimekuwa timamu, nakifata kichwa cha juu chenye akili zake, naanzaje kufata kichwa kina kipara, toka kuumbwa kwake hakioti hata nywele kazi kucheua tuu[emoji23] [emoji23]Na kweli nyie viumbe naviheshimu sana
Nakwambia watatutawala tu, tutake tusitake shwain hawaNi picha wanayotuonyesha katika uchaguzi wa 2020
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli maka umesema acha nikitulize
Amin rabil allah min shunie.. baraka unazoniombea mwenyezi mungu atugawie sawa na wewe.. ubarikiwe saan shunie.Tunakupenda maka unacheka na kila mtu huna majivuno wala hasira Mungu azidi kukulinda na kukuweka [emoji7][emoji120]
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Tunakupenda maka unacheka na kila mtu huna majivuno wala hasira Mungu azidi kukulinda na kukuweka [emoji7][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu weweNauza mamii, kama ikishindikana kupata mteja, ntakupa kabisa uuze wewe, ujigawie kabisa unachotaka kitakachobaki utanipa kama kiporo[emoji23] [emoji23]
Ahahahhh umebadirika toka lini makaLakini ujue mie simo, nimestarabika siku hizi, nimekuwa timamu, nakifata kichwa cha juu chenye akili zake, naanzaje kufata kichwa kina kipara, toka kuumbwa kwake hakioti hata nywele kazi kucheua tuu[emoji23] [emoji23]
Ila ipo siku yao tu isiyokuwa na jinaNakwambia watatutawala tu, tutake tusitake shwain hawa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuliza kipago..[emoji23] [emoji23]
[emoji120][emoji120]Amin rabil allah min shunie.. baraka unazoniombea mwenyezi mungu atugawie sawa na wewe.. ubarikiwe saan shunie.
Sikufikii wewe mwenzangu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe