Maka bado simu yake imezimaHahahaa
Hapana aisee! I want to get the real picture kwanza...nilikuwa napitia nyuzi zake kwenye haya majukwaa ya kawaida kwanza.
Ila nahisi makaveli ameshakuwa added...
Kumbe toka enzi hizo binamuHa ahahahahaha, angalia vizuri aunt, lile ni kongwe sana
Kumbe toka enzi hizo binamu
Mie n wewe tena!! Nakosaje kuja kwa mfano.Hahahh umejuaje
Chukua..Ahahahh nipe hela
Mahela hayo ni mangapi!?Hakuna cha bure nipeni mahela mie
Kumbe ni la wakubwa.. inapaswa niwemo, mie maana naelekea kuuvuka huo ukubwa wenyewe, nisije nikakosa cha kusimulia wajukuu bureWe utashtukia umeshaingizwa tu linaitwa jukwaa la wakubwa members only huko
Umekimbia kutongozwa niniHuko me siingii siku hizi Nyagei ndio jukwaa lake huko anatongoza tu
Mkuu hutaki utani, mixer ving'ola wakupishe njiani!!?
To Adult Forum
Hapana mkuu, tanesco walivyokata umeme, nikaamua nilale...Maka umepotelea wapi?
Ama ndio uko Adult forum?
Aisee.. nakutunuku cheo cha heshima OBEhuyo itakuwa charge imemkimbiza si amelalamika hapo umeme umekatwa
Mie ni salama wa salmin shem.. sijui familia yako mamiiNi poa za ww
Nakuja bob..Weweeee makaveli10..?
Uko wapi?
Mkuu hata wewe unanichimbaHahahaaaa!
Bora chaji iishe kabisa..! Manake sio kwa kutaka Jukwaa kubwa kwa hasira hivyo.
Siamin kama ni kweli.. sakayo!! Hapana hawez kula, namlia yamini.Atakula huyooo! Kwanza ananidai hela yake..
Fata anachosema, usifate anachotenda!!Yesuuu Iruvaaa..
Baba paroko anapiga sound huko?
! Dunia inaangamia
Mmh..
Aisee! Hata hizo chats tuu na comment zinaharibu mtuu..
Mfano ukiwa unaenda jukwaa la ubuyu ubuyu kama lile la wasanii..
Yaani ukiwa addicted unakaa ki-ubuyu ubuyu tuu..
Nawe pia bibie..Muwe na usiku mwema
Nimeanza kulisikia zamani lakini sikuwa na mchecheto nalo...Afu lile jukwaa lipo toka mwaka 2015 kumbe...nimeona thread zake kule jukwaa la Complaints