lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Amejionea nn? Uchonganishi huoShemeji anataka achafue hali ya hewa brother.
Nadhani leo umejionea mwenyewe live bila chenga.
Amejionea nn? Uchonganishi huoShemeji anataka achafue hali ya hewa brother.
Nadhani leo umejionea mwenyewe live bila chenga.
Nimemfanyia maombi maalum nkipokuwa kanisani.Hivi umempa nini mama yako leo? Wale kwa bahati mbaya mama zenu walishatangulia mbele za haki poleni sana
Unaweza kubarikiwa utakavyo....
Hapana shemeji ni katika harakati za kukusaidia kupunguza speed tu, maana umesema mwenyewe kwamba brother hana speed governor.We una yako Walah!
Ucjali nina vyanzo vingi vya mapatoBrother unapotea sana.
Hadi waumini wanauliza sadaka wampe nani!!!
Vaa kinyago![]()
![]()
kwenye hiyo practical nitakuwemo.
Maana sielewi elewi Hapa. youngblood anajipamba tuUnafikiria nn tena mpenz?
Hivi simba a.k.a mkia fc wanacheza lini![]()
Kagera:
Jambajamba
.......................
Nilikuambia naipenda speed yake.Hapana shemeji ni katika harakati za kukusaidia kupunguza speed tu, maana umesema mwenyewe kwamba brother hana speed governor.
Swali zuri sana brother..Hivi umempa nini mama yako leo? Wale kwa bahati mbaya mama zenu walishatangulia mbele za haki poleni sana
Muache huyo, bange imempanda kichwani.Maana sielewi elewi Hapa. youngblood anajipamba tu
Kama jinsi tulivyokuwa tunawadanganya wazazi wetu na sisi tutadanganya vile vileInatekemea lkn sio kila kizazi ni kipya .....kuna kizazi cha kibwege pia kwahiyo hakina jipya
......................
LeoHivi simba a.k.a mkia fc wanacheza lini
Ni S na wala si K![]()
Kimba:
Mwadui
.......................
Hapana bro.Ndo mambo yako unayoyataka
WivuVideo
Marahaba binti, karibuShikamooni makapufu.
Aiseeeee.....