Nimejikuta nacheka binamu jamaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mimi ndo naweza hata kuanzisha vita kwa ajili yako. Wewe hata kama unahisia tu kuwa kuna mtu anataka kukuonea nijulishe nitoe onyo la kufungia mwaka.
Namshukuru sana mjomba kwa kukupata wewe kwa bahati mbaya
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Love you more sweetheart.... Wewe ni zaidi ya ndugu, mtu ambaye nimekuwa wa kwanza kukulilia na ukanielewa na ukanifariji!!! Love you babe
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nilifanya matani lakini sasa niko addicted
Ahahhhh simu zote kasoro vitorch..oh, kumbe hata kwenye simu za bei mbaya unaweza iweka? Au inafaa kwenye simu zenu tu?
Shkamo Obe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa yangu bado changa shunie[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hahahaha...na shkamoo unazopokea kila leo. Nikajua wewe ni mkongwe kumbe bado una muda wa kutosha kula mema ya nnchi...teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu weweNdoa yangu bado changa shunie
Hahahah.....waangalie wote wanaonipaga shikamoo, wananifanyiaga kauzibe ile safari yangu ya Kigamboni. Hiyo salamu yao huwa ni zuga tu lakini wanajijua kwa kuniwekea mtimanyongo kwenye mambo yangu muhimu kule kigamboni? Unapajua kigamboni?
Shkamo Obe
Ikivunjika utaijenga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe
He he hakuna shida matofali ninayo mengiIkivunjika utaijenga wewe
Hahahah
Napafahamu sana, shangazi yangu anaishi maeneo ya cornerstone
Kwanini wakufanyie hivyo Mr Obe?
Angalia na wewe usije kua tofali mojawapo[emoji4]He he hakuna shida matofali ninayo mengi
Hahahah, sasa uwe unazikataa hizo shkamoo, utazeeka haraka...hapo cornerstone kuna kijibar kizuri.
..wananifanyia hivyo kwa sababu roho mbaya huwa haina sababu yani hata wakimuona kibogoyo anatabasamu wanaumia roho na moyo
Hahaha. NalogOff.....anko wangu Lyon Lee anakutakia maongezi mazuri yenye mipaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia na wewe usije kua tofali mojawapo[emoji4]